johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Wew si ndo mtukanaj namba moja usiempenda jiwe..sasa unalia lia nin hapa....Ikiwa ni siku moja tu baada ya hayati Magufuli kuzikwa halmashauri ya wilaya ya Handeni imepandisha ushuru wa mauzo ya mifugo mnadani kuwa sh 3000 kwa mfugo mmoja iwe umeuza au haujauza ilmradi tu umefika mnadani.
Wafugaji wameiona hiyo ni kama hujuma kwa Rais mpya hivyo wamemuomba Rais Samia ambaye alipita hapo Handeni akiwa makamu wa Rais awasaidie.
Source ITV habari
RIP Magufuli!
Samahan mtoa mada..ni technical mistake..nilikuchanganya na jamaa flan hiv asiempenda jemedari wetuWew si ndo mtukanaj namba moja usiempenda jiwe..sasa unalia lia nin hapa....
Jamaa mnafki sana wew.
Samahan mtoa mada..ni technical mistake..nilikuchanganya na jamaa flan hiv asiempenda jemedari wetuIkiwa ni siku moja tu baada ya hayati Magufuli kuzikwa halmashauri ya wilaya ya Handeni imepandisha ushuru wa mauzo ya mifugo mnadani kuwa sh 3000 kwa mfugo mmoja iwe umeuza au haujauza ilmradi tu umefika mnadani.
Wafugaji wameiona hiyo ni kama hujuma kwa Rais mpya hivyo wamemuomba Rais Samia ambaye alipita hapo Handeni akiwa makamu wa Rais awasaidie.
Source ITV habari
RIP Magufuli!
Ubarikiwe mkuu!Samahan mtoa mada..ni technical mistake..nilikuchanganya na jamaa flan hiv asiempenda jemedari wetu
Sorry
Hakuna uniformity, kwamba tozo ya aina moja minada yote?? Au kila halmashauri inajipangia tu, kadri madiwani waonavyo??Mnanda wa Misungwi Mwanza tozo ni 7000/= per cow. Waambie waache kulia lia.
Ni ushuru wa mauzo ya mifugo? Au ni ushuru wa kuingiza mfugo mnadani? Ng'ombe aliyeshiba anafika mpaka laki 8 mpaka mil 1. Kuna ubaya kulipia 3000? Au ndio unataka kuonyesha bila hayati JPM mambo hayaendi?Ikiwa ni siku moja tu baada ya hayati Magufuli kuzikwa halmashauri ya wilaya ya Handeni imepandisha ushuru wa mauzo ya mifugo mnadani kuwa sh 3000 kwa mfugo mmoja iwe umeuza au haujauza ilmradi tu umefika mnadani.
Wafugaji wameiona hiyo ni kama hujuma kwa Rais mpya hivyo wamemuomba Rais Samia ambaye alipita hapo Handeni akiwa makamu wa Rais awasaidie.
Source ITV habari
RIP Magufuli!