Baada ya hili nikiri kumpenda wema kwa dhati

Baada ya hili nikiri kumpenda wema kwa dhati

innocent j

Member
Joined
Jan 17, 2012
Posts
58
Reaction score
9
Wadau nilikuwa nikiangalia kipindi cha mkasi cha salama j. kiukweli nimevutiwa sana na wema maana the girl is so confident and very open kuhusu life lake, nimeangalia hadi nikamfananisha na kim kardashian how sexy and confident she is. how can i get her jaman mwenye kujua namna ya kumpata plzzzz
 
matamanio ni kawaida kwa mwanadamu,,,, lakini unajua matokeo ya tamaa?
 
Uwe unaenda kunywa supu leaders club, wanakutanaga ma-star wa bongo wakifanya mazoezi ya kuigiza.
 
najua tamaa ina madhara ila hata hawa wakimya ndo wachafu zaidi
 
Wadau nilikuwa nikiangalia kipindi cha mkasi cha salama j. kiukweli nimevutiwa sana na wema maana the girl is so confident and very open kuhusu life lake, nimeangalia hadi nikamfananisha na kim kardashian how sexy and confident she is. how can i get her jaman mwenye kujua namna ya kumpata plzzzz

hata mi nakubaliana na ww huyu dada noma
 
Wadau nilikuwa nikiangalia kipindi cha mkasi cha salama j. kiukweli nimevutiwa sana na wema maana the girl is so confident and very open kuhusu life lake, nimeangalia hadi nikamfananisha na kim kardashian how sexy and confident she is. how can i get her jaman mwenye kujua namna ya kumpata plzzzz

eti sexy and confident?
Mtu gani msanii kiasi anatia kinyaa, sauti kama inatokea mita mia... Miksa mek apu kama jini?
Aaagh!
Halafu anataka kuzungumza kizungu kila saa, sijui kama yeye na Almasi wake ndivyo walikuwa wakiishi?
Maanake dah...
 
du kazi kwelikweli almasi amechezea body lile mpaka kachoka nawe wataka wanaume tujifunze kuvumbua kingine hata kijijin tunza angalau wawe wengi
 
Yani yule mtoto mzuri cjui itokeeje atulie na mtu wa uhakika mi nazani angerudi shule ingesaidia san! By the way kweli yule anadesrve title ya kim k bongo kuanzia figure, nyota ya kufuatiliwa life yake! Tofauti tu hana pesa kapendeza baada ya kupungua kutosana na almasi nilipenda couple yao sana lakini nimegundua diamond kwa upeo wake hawezi kuwa na huyu binti mana hayuko firm kwenye decision! Na ushololo bado unamsumbua sana!
 
Napenda kusikiliza akihojiwa iam still puzzled kwamba saivi tulisikia kuna mtu anamuweka mjini lakini jana hajasema anasema yuko mwenyewe! Anyway kama ameamua mambo yake aanze kufanya kimyakimya it will b well and good na mchuma keshanunuliwa! Jaribu tu bahati yako ndugu. .
 
Hakuna kitu pale
mwanamke mrembo
na mzuri asingekuwa
anahangaika kila
uchao kwa wanaume.
Kitu kimetumika kimebaki makapi af bado watu mnashabikia
wapo kina dada wazuri
wametulia,c hawa wasanii wa tz!kasoro wachache sana
wote wanajiuza! Machangu waliokubuhu,wanamegwa anzia na hao wasanii wenzao,maproducer,mapedejee na wengine wengi,
mleta sredi nenda pale mango kama una hela
zako mbuzi tu unang'oa bila wasi,na usione anaandikwa sana
analipa ili magazeti yamtoe front page.biashara matangazo atii

MSIHADAIKE NA RANGI TAMU YA CHAI NI SUKARI!!!!!!!!!

UZURI WA MWANAMKE SI UREMBO NI TABIAAA
ASA KM UPO NA MWANAMKE ANANG'AA KULIKO
KITO .AFU WENZAKO WANANG'OA MALA
UMFUMANIE NA RAFIKI ZAKO
MARA ANAMWAGA UPUPU MAGAZETINI
HIVI HUYU ,MTAPANGA LIFE MDA GANI
MAANA YE ANATAKA MDA WOTE ANAUZA NYAGO TUUU
UZURI WAKE ,HAUTAKUSAIDIA.MWANAMKE MZURI
ANAYEWEZA KUKUSAIDIA MKAJIKWAMUA KWENYE
LIFE,TENA YULE FIGHTER .C UPUPU HUU.
HUYU YUPO AFTER MONEY
PUBLICITY,NA ON TOP OF THAT ALL
HAJITHAMINI.ANASAULA TU MDA WOWOTE,KM KUKU
JOGOO LOLOTE LINANG'OA ...
BADO HAMJANIELEZA UZURI WA HUYU BINTI.
MAKE UP ZAID YA JINI,

ASEE NI KAMA MUA HAUWEZI TENA KUWA NA UTAM UKISHAFYONZWA MPAKA MWISHO
 
Back
Top Bottom