Baada ya Husle za hapa na Pale kuzingua nataka nije na hii plan

Ryzen

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2012
Posts
7,301
Reaction score
8,706
Niajee wadau, baada ya husle zangu za hapa na pale kutoonesha matunda mazuri kutokana na kuwa connection hafifu nimekuja na plan hii..

Nataka niingie CCM, niwe mwanachama kindaki ndaki wa CCM yaani mpaka nitengeneze connection kwa ajili ya fursa nizitarajiazo.

Je kwa wazoefu is this working? Nitumie mbinu gani za kujipendekeza n.k ilimradi mambo yangu yakae sawaa? Nipate hata vitenda vidogo vidogo na ajira za mgongo wa chama zisinipige chengaa..

Tushushe maoni wadau..
 
Una bahat mbaya yan ccm inajifia taratibu wewe ndo unataka kwenda
 
Mkuu easy mbona.. tafuta mtoto wa kiongozi kuwa Chawa hakikisha unakomaa mbaka unaamia kwao. ukisha amia Yaan make sure familia yake inakukubali kwa kupiga kazi za hapo kwao amka mornie sana fagia uwanja, osha magari deki swimming pool apo utaiteka tu iyo family ghafla tunakuona UVCCF kwenye kitengo
 
Sasa utasemaje hili taifa litakua salama kama vichwa maji kama huyu na mipango yake ndio hii
 
Asante sana Mkuu.. Bonge la Tactic
 
Sasa utasemaje hili taifa litakua salama kama vichwa maji kama huyu na mipango yake ndio hii
Taifa mtaendeleza nyinyi.. mimi nataka maendelo Binafsi.
 
Back
Top Bottom