Una bahat mbaya yan ccm inajifia taratibu wewe ndo unataka kwendaNiajee wadau, baada ya husle zangu za hapa na pale kutoonesha matunda mazuri kutokana na kuwa connection hafifu nimekuja na plan hii..
Nataka niingie CCM, niwe mwanachama kindaki ndaki wa CCM yaani mpaka nitengeneze connection kwa ajili ya fursa nizitarajiazo.
Je kwa wazoefu is this working? Nitumie mbinu gani za kujipendekeza n.k ilimradi mambo yangu yakae sawaa? Nipate hata vitenda vidogo vidogo na ajira za mgongo wa chama zisinipige chengaa..
Tushushe maoni wadau..
Asante sana Mkuu.. Bonge la TacticMkuu easy mbona.. tafuta mtoto wa kiongozi kuwa Chawa hakikisha unakomaa mbaka unaamia kwao. ukisha amia Yaan make sure familia yake inakukubali kwa kupiga kazi za hapo kwao amka mornie sana fagia uwanja, osha magari deki swimming pool apo utaiteka tu iyo family ghafla tunakuona UVCCF kwenye kitengo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Taifa mtaendeleza nyinyi.. mimi nataka maendelo Binafsi.