GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kwa Mashabiki wenu Oya Oya (Akili Kupotea) hapa najua Watawaungeni mkono ila kwa Sisi Wanamichezo wa kweli tunajua kuwa mmeumia mno na Kubikiriwa na Walima Mpunga huko Mbarali Mkoani Mbeya jana.
Sasa kama baada ya Kichapo Bikiriwa chenu cha Jana Lengo lenu lilikuwa ni Kufurahia Unbeaten Record ya Mechi 49 bila Kufungwa kama mliyoiweka sasa katika Kurasa zenu za Mitandao ilikuwaje mkatengeneza Jezi zenu Maalum za Unbeaten Record ya Mechi 50 bila Kufungwa (ambazo Usiku wa leo kwa Aibu Kubwa) mmezichoma Moto huku zingine mkizigawa Kiuhuruma kwa wana Yanga SC wa Mbarali na Mbeya Mjini ili Wakazipigie Deki Majumbani mwao?
Kateni Rufaa Kufungwa na Ihefu FC!!!