Sigara Kali
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 3,623
- 8,442
Hongera mfiwa kwa kuleta taarifa[emoji41]Kuna binti alitumia dawa za misoprostol kwa ujauzito wa siku 25,but kutokana na maelezo yake nikagundua bado inshu haijatoka yote
Akapelekwa medical na kusafishwa (Manual Vacuum Aspiration) akapewa na antibiotics akarudi home
Sasa nauliza baada ya kufanyiwa hii procedure nini kitafuata na wakati gani atakua fresh kabisa na mzunguko wake wa hedhi kuanza tena???
hapa ndipo point ilipo. asubiri wakat wa kujifungua huko mbeleni alete mrejeshoukiua kwa upanga utakufa kwa upanga. karma is a bitch