Pesanyingi
JF-Expert Member
- Apr 15, 2023
- 1,157
- 1,983
Hizi tamthilia kwa kweli zinachosha, kwanza lugha inayotumika huko hata hatuijuwi. Ni bora muonyeshe mbuga zetu za wanyama.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaa South Afrika hiyo ,acha ushamba ndugu ,hujui kiingereza ?Hizi tamthilia kwa kweli zinachosha, kwanza lugha inayotumika huko hata hatuijuwi. Ni bora muonyeshe mbuga zetu za wanyama.
Ndiyo madam sijuwi nifundishe.Hahaaa South Afrika hiyo ,acha ushamba ndugu ,hujui kiingereza ?
Samahani mkuu naomba unitofautishie kati ya ushamba na kutokujua kimalkia. ahsanteHahaaa South Afrika hiyo ,acha ushamba ndugu ,hujui kiingereza ?