P Pesanyingi JF-Expert Member Joined Apr 15, 2023 Posts 1,157 Reaction score 1,983 Nov 10, 2024 #1 Hizi tamthilia kwa kweli zinachosha, kwanza lugha inayotumika huko hata hatuijuwi. Ni bora muonyeshe mbuga zetu za wanyama.
Hizi tamthilia kwa kweli zinachosha, kwanza lugha inayotumika huko hata hatuijuwi. Ni bora muonyeshe mbuga zetu za wanyama.
K Kimbukiko JF-Expert Member Joined Apr 1, 2022 Posts 5,080 Reaction score 9,449 Nov 10, 2024 #2 Pesanyingi said: Hizi tamthilia kwa kweli zinachosha, kwanza lugha inayotumika huko hata hatuijuwi. Ni bora muonyeshe mbuga zetu za wanyama. Click to expand... Hahaaa South Afrika hiyo ,acha ushamba ndugu ,hujui kiingereza ?
Pesanyingi said: Hizi tamthilia kwa kweli zinachosha, kwanza lugha inayotumika huko hata hatuijuwi. Ni bora muonyeshe mbuga zetu za wanyama. Click to expand... Hahaaa South Afrika hiyo ,acha ushamba ndugu ,hujui kiingereza ?
K Kimbukiko JF-Expert Member Joined Apr 1, 2022 Posts 5,080 Reaction score 9,449 Nov 10, 2024 #3 Ila Isidingo ina umri mkubwa kunizidi ,aisee
P Pesanyingi JF-Expert Member Joined Apr 15, 2023 Posts 1,157 Reaction score 1,983 Nov 10, 2024 Thread starter #4 Kimbukiko said: Hahaaa South Afrika hiyo ,acha ushamba ndugu ,hujui kiingereza ? Click to expand... Ndiyo madam sijuwi nifundishe.
Kimbukiko said: Hahaaa South Afrika hiyo ,acha ushamba ndugu ,hujui kiingereza ? Click to expand... Ndiyo madam sijuwi nifundishe.
Nikifa MkeWangu Asiolewe JF-Expert Member Joined Feb 26, 2024 Posts 6,944 Reaction score 14,351 Nov 11, 2024 #5 Kimbukiko said: Hahaaa South Afrika hiyo ,acha ushamba ndugu ,hujui kiingereza ? Click to expand... Samahani mkuu naomba unitofautishie kati ya ushamba na kutokujua kimalkia. ahsante
Kimbukiko said: Hahaaa South Afrika hiyo ,acha ushamba ndugu ,hujui kiingereza ? Click to expand... Samahani mkuu naomba unitofautishie kati ya ushamba na kutokujua kimalkia. ahsante