MBOKA NA NGAI
JF-Expert Member
- Jan 31, 2025
- 350
- 576
View: https://x.com/StanysBujakera/status/1887306274750030073
Akiongea Vital Kamerhe, anasema: muda umeshatutupa; kuna wabunge hapa hata hawajui ilipo MINOVA, Nyabibwe iko wapi na maeneo mengine. Mkiambiwa, mnatakiwa muelewe hali halisi ya kinachoendelea. Nadhani wenzetu wa Kivu Kusini na Kasikazini, wanaweza kuwahakikishia kuwa Nyabibwe, tayari tushaipoteza usiku huu(Kuamkia leo). Sasa hivi, wapo Ihusi. Ihusi ni karibu na Katana. Katana ni mji wa Bukavu. Kwa sasa, ni wazi kwamba vita hivi vipo nje ya uwezo wetu. Raisi,ameomba tutoe maoni yetu