MBOKA NA NGAI
JF-Expert Member
- Jan 31, 2025
- 350
- 576
Wakishika Bukavu watangaze Nchi au wampindue Felix.
View: https://x.com/StanysBujakera/status/1887306274750030073
Akiongea Vital Kamerhe, anasema: muda umeshatutupa; kuna wabunge hapa hata hawajui ilipo MINOVA, Nyabibwe iko wapi na maeneo mengine. Mkiambiwa, mnatakiwa muelewe hali halisi ya kinachoendelea. Nadhani wenzetu wa Kivu Kusini na Kasikazini, wanaweza kuwahakikishia kuwa Nyabibwe, tayari tushaipoteza usiku huu(Kuamkia leo). Sasa hivi, wapo Ihusi. Ihusi ni karibu na Katana. Katana ni mji wa Bukavu. Kwa sasa, ni wazi kwamba vita hivi vipo nje ya uwezo wetu. Raisi,ameomba tutoe maoni yetu
Wakishika Bukavu watangaze Nchi au wampindue Felix.
Malawi imeondoa Wanajeshi wake huko ,Tanzania na South Africa ndio wamebakia kiherehere.
Japo taarifa zinaswma Ramaphosa anafanya biashara ya Madini na mwenzie Mosepe na wanatumia Jeshi
SA ikifanya biashara na DRC Rwanda inakuaje na mgogoro na SA?Ndio maana unaona wana ugomvi binafsi na PK, kipo ambacho PK anafahamu kuhusu jeshi la SA na DRC mashariki.
SA ikifanya biashara na DRC Rwanda inakuaje na mgogoro na SA?
Jeshi la Kongo poleni sana. Mmeonesha ukosefu wa nidhamu, ukosefu wa morali na zaidi wenye uzalendo wa kweli humo jeshini mwenu wamepungua. Usaliti umetamalaki. Vijana wanakimbia na kuacha silaha nzito Kwa M23. Too sad.Jumuia ya kimataifa hasa SADC msipochukua hatua Congo inaenda kuangamia na kusambaratika. Si ajabu siku kadhaa zijazo Congo ikagawanywa na kuwa nchi kadhaa. Hili linatisha zaidi .Sitaki litokee but Kwa hali ilivyo tuzidi kusubiri muda na utasema.
Unamaanisha........Hatuwezi kuwa wacongolizi kuliko wakongolizi wenyewe.
Ukisafiri nao mapambio kwa Yesu utasema wagalatia ndo wao..kumbe ubinafsi tuu na chuki zimewajaa