Baada ya janga la Corona kutikisa uchumi, taasisi za kibeberu zimekaa mkao wa kula kusubiri mataifa yakakope

Baada ya janga la Corona kutikisa uchumi, taasisi za kibeberu zimekaa mkao wa kula kusubiri mataifa yakakope

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Taasisi za kibeberu zimekaa mkao wa kula,aliyenacho ataongezewa, jamaa wametikisa uchumi wa dunia na sasa wako tayari kukopesha ili kusaidia hali ya mambo iliyokorogeka.

Kutokana na demand kubwa ya kukopa, riba itakuwa juu, na wakopeshaji watachagua wa kukopesha... Kipaumbele watapewa mataifa ya ulaya
 
Sasa huko ulaya sindokumehathirika zaidi....punguza siasa mkuu
Bado sio reasom mkuu, juzi balozi wa Germany kasema wako tayari kuisaidia tz kwa vifaa vya kupimia corona, the same day Dw inatangaza yenyewe ina upungufu wa vifaa vya kupimia huko kwao.
 
Taasisi za kibeberu zimekaa mkao wa kula,aliyenacho ataongezewa, jamaa wametikisa uchumi wa dunia na sasa wako tayari kukopesha ili kusaidia hali ya mambo iliyokorogeka.

Kutokana na demand kubwa ya kukopa, riba itakuwa juu, na wakopeshaji watachagua wa kukopesha... Kipaumbele watapewa mataifa ya ulaya
Wao wenyewe hali zao ni mbaya. Wawakopeshe wkt makwao wanachechemea.
Sorry this theory doesnt add up at all

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana, imebidi baadhi ya nchi kuchapisha fedha kuokoa maisha ya baadhi ya wananchi hasa wa kipato cha kati na chini
 
Tumuombe Mungu tupite salama kwenye hii COVID-19, hizi siasa zetu za kipumbavu hatutatoboa kamwe..
 
Back
Top Bottom