Bado sio reasom mkuu, juzi balozi wa Germany kasema wako tayari kuisaidia tz kwa vifaa vya kupimia corona, the same day Dw inatangaza yenyewe ina upungufu wa vifaa vya kupimia huko kwao.Sasa huko ulaya sindokumehathirika zaidi....punguza siasa mkuu
Ashley Cole kaingiaje hapa?Ashle
Wao wenyewe hali zao ni mbaya. Wawakopeshe wkt makwao wanachechemea.Taasisi za kibeberu zimekaa mkao wa kula,aliyenacho ataongezewa, jamaa wametikisa uchumi wa dunia na sasa wako tayari kukopesha ili kusaidia hali ya mambo iliyokorogeka.
Kutokana na demand kubwa ya kukopa, riba itakuwa juu, na wakopeshaji watachagua wa kukopesha... Kipaumbele watapewa mataifa ya ulaya
Ndio nani huyo?Au ni kampuni ya kibeberu?A.s.h.l.e