Baada ya Januari 20 kupita, TCRA yasema itakuwa inazima laini za simu zisizosajiliwa kwa alama za vidole kwa awamu

Watanzania ni hodari sana kubishania kitu cha kitaalamu iliyo nje ya taaluma yake. Shame onj us hii ni laana. Mimi kamwe siwezi kubishana na mtaalamu kwa eneo ambalo sijalisomea wala sina technological knowhow. Labda itokee wataalamu kwa wataalamu wao kwa wao wakibishana. Sisi tusio wataalamu tuulize maswali yakijibiwa turidhike kama bado uliza tena ila usibishane. Nenda kabishanie taaluma yako
 
Wamenifungia lakini bado Napata mawasiliano,...

Tusitishane kama watoto wadogo bana wewe mtu mwambie faida za kusajili akuelewe ila sio kutishana kama watoto, Mazingira yenyewe ya kusajili yamejaa rushwa rushwa tu inakulazimu uache shughuli zako kwa siku nzima et kupanga foleni kwa ajili ya likitambulisho,
Huu ni ulimwengu wa technolojia, na msifikiri mtaani wote ni vilaza mtazifungia lakini tutaendelea kuwasiliana kama kawaida.

Muda ni mali, mzingatie hilo.
 
Kubishana na popoma ni kupoteza muda hata wadau kutoka huko MNOs wanakushangaa tu humu.Hujui kitu.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…