Baada ya Januari 20 kupita, TCRA yasema itakuwa inazima laini za simu zisizosajiliwa kwa alama za vidole kwa awamu


Are you mad? Despite the fact tcra hutoa tamko ili makampuni yatekeleze but who is the big player here? Ivi unadhan tcra ni kuweka tu sheria? Have u ever heard of mkongo wa taifa

Na je nan anawauzia internet mitandao ya simu? What about calls? What about MMC? Nan husafirisha data nchi nzima kwa wananchi kama sio serikali? Are you mad? Are you OK upstairs
 
Hichi kitu ata mimi nilikuwa najiuliza wenye dhamana ya kuchuku taarifa za mtu hasa sensitive kama alama za vidole ni polisi tu iweje wawape ma kampuni binafsi uwezo wa kukusanya taarifa nyeti za watu kama alama za vidole


Sent from my iPhone using JamiiForums
 


And I am no where emotional mnasikitisha na izi ngonjera zenu, at one point you guys get educated hii ni aibu
 
Bila hela mipango mingi itakwana hata ile ya kujinunulia mahitaji muhimu kama chakula na mavazi.

Simu zinazozimwa ni zile zinasaidia kukusanya hela ya kutekelezea mipango mbalimbali. Kuzizima simu ni kumaanisha kuikosa hela hiyo ya watu waliozimizwa line
 
sasa na wewe kwanini hujanda kusajili?
Shangaa na wewe, watu wa namna hii ndio wametufikisha hapa leo hii, ni kama vile ukiwekewa kundi la sisimizi katika mkono wako kisha mmoja akakung'ata unaondoa wote!
 
Bora umeona, ni matapeli tu. Mimi nina line tatu na zote ziko hewani. Hakuna mtu yoyote atanitishia. Nilishasajili huko nyuma, sio lazima nisajili kwa namba ya NIDA fullstop.
Kwani ukisajili upya unapungukiwa nini mkuu? 😳
 

Mkuu uku watu wanatafuta namna ya kufarijiana,laiti wangejua nguvu ya TCRA wangefanya juu chini wasajili tu, watu wengi huku ni basi tu hata hamna mwelekeo wa kuwapa elimu unakosa!

Nape alienda ikulu akipiga magoti alafu unakutana na mtu anaongea upuuzi kama ule, yaani kuna watu bana
 


Hawa ndo upinzani wanaotaka kuendesha nchi na akili kama izi?
 
Hiyo nguvu ya TCRA mbona wameshindwa kizima Jamii forum

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa jamaa wanachekesha kweli, kama lengo la kusajili laini ni kutambua watu, sasa hao wananchi ambao mamlaka zinawajua tayari kuwa wana vitambulisho vya NIDA lakini hawajasajili laini, Je mamlaka zilitambuaje hizo laini kuwa ni za wananchi hao ? , ina maana huo utambulisho walionao juu ya watu hao hauwatoshi mpaka watuletee habari za kujisajiri upya?
 

Suala la internent ni tofauti mkuu ipo wazi serikali ndio inamiliki mkongo wa taifa na makampuni ya simu yananunua internent kutoka serikalin


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Line yangu ilizimwa 00:00 nikawa sipatikani wala siwezi kuingia online (ni card ninayotumia sana kwa ajili ya mtandao). Ilibidi nipite Milimani city nikafanye kuisajili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…