Baada ya Januari 20 kupita, TCRA yasema itakuwa inazima laini za simu zisizosajiliwa kwa alama za vidole kwa awamu

Mitambo yao inazidiwa watu wacheche hivi? Hizi system sijui hua wanamlipa nani awatengenezee, wana system zimetengenezwa na amateurs kabisa.
 
Binadamu hana shukurani hata kidogo,,juzi hapo watu mumelilia sana humu kui- please Tcra ku- extend muda leo mnaanza kujimwambafai !!! Subiri jamaa wafanye yao ndio muone uwezo wao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila nasikia TCRA wameona wawatafute wale wenye vitambulisho vya NIDA na hawajajisajili wawazimie line zao. Wasio na vitambulisho wataendelea kujidai. Sijui kama kama kuna ukweli.
Mi nimejisajili saa 2 zilizopita.
Me kitambulisho ninacho mda mrefu,sema uvivu tu wa kwenda kusajili. Ila this weekend ntaenda kusajili kama ntakua bado nmesalimika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi bado nadunda nadunda


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Tunaikaliaga politiki.
 
Me kitambulisho ninacho mda mrefu,sema uvivu tu wa kwenda kusajili. Ila this weekend ntaenda kusajili kama ntakua bado nmesalimika

Sent using Jamii Forums mobile app
Cross your fingers for your safety
Hapa dar haichukui hata dakia 10 kama mtandao hausumbui.

Nahisi wanaozima line ni makampuni husika. Huenda Halotel wanatuvutia pumzi.
Ila ukijisajili unapokea 1GB kwa wiki😀😎
 
Mashine za kutusajilia zimetoka kwao wakizima ghafla bin vuu itakuaje.
Kuna suala la kiuchumi pia maana simcards hizi ndiyo zinafanya miamala mingi la kutuma, kulipa na kupokea fedha. Ni vizuri walivyochukua hatua kwa kuzima kwa zamu, ni namna bora ya kuwapa watu fursa ya kusajiri ili miamala iendelee kufanyika. Utashudia ripoti ya TRA mwezi huu kwa namna ambavyo makusanyo ya kodi yatavyopungua kwa asilimia fulani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…