Baada ya jeuri za serikali ya Jubilee, Raila Odinga abadilisha security detail!

Baada ya jeuri za serikali ya Jubilee, Raila Odinga abadilisha security detail!

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2008
Posts
14,630
Reaction score
4,253
Juzijuzi alipokua Australia, mambo yalikua kama hivi....

9307103827_45a2574c19_o.jpg

mfianchi, Ngongo, ukwelikitugani, Crucial Man,
 
Last edited by a moderator:
Viongozi walioko madarakani hawaaminiki na hawataki kuwapatia ulinzi stahiki wapinzani wao. Sasa naona wapinzani wamekuja na staili mpya bado DR. BYESIGE ndo sijajua àtakuja na staili gani kujilinda.
 
Raila ni underdog hata akitembea bila ulinzi hana madhara anajipotezea muda tu ...looser
 
Raila ni underdog hata akitembea bila ulinzi hana madhara anajipotezea muda tu ...looser

inakuuma sana na tena utaumia tu, Raila yuko juu tena juu zaidi. chungu linapikwa we subiri tu utaona matokeo yake.
 
Raila ni underdog hata akitembea bila ulinzi hana madhara anajipotezea muda tu ...looser

No research no right to air anything into the public domain, unless you are only interested in pleasing you big ego!!! utachekwa sana kaka; do not be too simplistic!!
 
inakuuma sana na tena utaumia tu, Raila yuko juu tena juu zaidi. chungu linapikwa we subiri tu utaona matokeo yake.

sugar mummy,wambie hao odinga ni mwanasiasa shupavu barani africa..wao wamekalia kupambana nae kwa mbinu hafifi yeye anajijengea umaarufu na uimara kisiasa katika level nyingine...tatizo la serikali ya uhuruto wamekalia kulipiza kisasa badala ya kutimiza ahadi zao wakati wa kampeni.
 
Ukweli ni kwamba roundi hii Raila has been contained effectively (in ideological terms) na mahasidi wake..najua hatakosa mbinu katika uchaguzi ijao,,but kumbuka there is still MIGUNA MIGUNA
 
Ohuru ameuliza hivi, kwani kenya kuna rais wa ngapi? Raila kabeba ma governor wake to USA kujifunza kazi na wajubilee wakabaki nyumbani. Jamaa amechanganyikiwa ile mbaya anashindwa aanzie wapi kwani siku atakapotoa mguu to kwenda the hague wakikuyu na kalenjin wataisoma number.
 
uhuru ni kama toothless dog,amekuwa rais wa kumingle africa tu..soon atakuwa hatoki hata nje ya kenya..unakumbuka yaliyomkuta Al bashir Naigeria? Haya ili utambue jamaa yuko shallow na washauri wake wanampotosha..waalimu wamekubali kurudi madarasani alafu wao wanalipiza kisasi ya kuwanyima mishaha na kuwasweka ndani viongozi wa waalimu..iko wapi busara hapo kama sio kulipiza kisasi? Haya sasa madaktari nao wamesema punde tools down,wao badala ya kuangalia namna ya kusolve haya yote..wamekalia kumuandama mzee wa watu.tukiwambia wanakuja juu eti tuwaachie kenya yao..kama vipi wajiondoe kwenye jumuiya ya EA
 
Jamaa akipiga sana misele anaishia Uganda, Rwanda na walau hapa bongo mdogo mdogo anakuja Rose Garden kula raha kisha anasepea zake Naii.
Raila is still flying
 
Ohuru ameuliza hivi, kwani kenya kuna rais wa ngapi? Raila kabeba ma governor wake to USA kujifunza kazi na wajubilee wakabaki nyumbani. Jamaa amechanganyikiwa ile mbaya anashindwa aanzie wapi kwani siku atakapotoa mguu to kwenda the hague wakikuyu na kalenjin wataisoma number.

Jamaa lazima aogope ile mbaya. International community yote ishamuona jamaa mwizi tu. He rigged the whole thing to get in. Now he is so scared to get out
 
Viongozi walioko madarakani hawaaminiki na hawataki kuwapatia ulinzi stahiki wapinzani wao. Sasa naona wapinzani wamekuja na staili mpya bado DR. BYESIGE ndo sijajua àtakuja na staili gani kujilinda.

Jamaa anamgwaya sana Raila cause so far anajua kama Raila ataendelea kupumua, the coming election anaweza asichomoke. Na huo ndo utakuwa mwanzo wa mwisho wao kusambaratika katika anga la siasa. Sasa kitendo cha Raila kujipanga kiulinzi lazima wajipange upya juu ya kum delete which is next to IMPOSSIBLE. Hawatamuweza cause Raila sio Kalonzo.
 
Raila ni underdog hata akitembea bila ulinzi hana madhara anajipotezea muda tu ...looser
We inaonyesha siasa za Kenya bado hujazijua. Sasa nakwambia hivi wee subiri tu na utaona hao akina Uhuruto kama watamaliza term yao ya 5 years. Halafu uchaguzi mwingine before the term end ...Hapo ndio utajua nani looser!

Kwa wanaojua siasa za Kenya ni kuwa Uchaguzi bado na kampeni bado zinaendelea.
 
Jamaa akipiga sana misele anaishia Uganda, Rwanda na walau hapa bongo mdogo mdogo anakuja Rose Garden kula raha kisha anasepea zake Naii.
Raila is still flying
lmao....mkuu na kwa unafiki wake wa kujipendekeza kwa kagame usikute hata bongo hata kanyaga tena.
 
Raila Odinga akabwagwa,,,na huyu Uhuru,,ambaye Raila alitumia wakati wake
wote kumtusi,,hata baada ya uchaguzi,,,Raila akaendelea na zile siasa zake
duni,,,kumfuata Uhuru popote alipokwenda,,lakini,,punde si punde,,aka
vumbua kwamba Uhuru si yule aliokua akimfikiria. (mpira mpira,,goaaaal)

Kwanza,,katiba hii haitambui Ofisi ya PM,,,baada ya kumtusi Uhuru,,bado Uhuru
anahuruma ya kumpa huyu Odinga walinzi 12 lakini ameonywa asijaribu
kuvunja sheria za Kenya.Hakuna popote katiba inamtaja Raila na kwamba
yeye yuko,,above the laws of this land.

Asitatize wasafiri na waendeshaji magari barabarani kwa kutumia
wrong sides,,,

Kama Raila atajiheshimu,,,ataheshimiwa lakini akijifanya kichwa
ngumu,,,basi hivi karibuni atafungua macho vilivyo na kuona
na kufahamu kwamba,,,,Uhuru si Kibaki,,aliyezoea kumchezea,,,

Huyu ni,,,ditital Uhuru,,,33,000 volts,,,danger,,hatari,,mjamaa
atapigwa,,,,,yaani,,,shock ya Njumbirii,,washikanishwe na walinzi,,
he he he,,,,

Huyu ni mtoto wa Jomo,,,Jomo kiboko cha Oginga Odinga na,,,,,
wembe,,,,ni ule ule,,,,hatucheki na watu.:smile-big:

Eti serikali haitamudu miaka mitano,,,we we we,,,hayo ni yako
na serikali ya njumbirii iko,,,ngangari,,,imemkubalia yeyote
kuota ndoto za aina yeyote.

Lakini,,,mimi Jammu mwana wa Afrika,,,naapa ya kwamba,,,
Njumbirii itamaliza miaka yote kumi na kuendelea hadi 2050.

Rais Uhuru Kenyatta,,baada ya miaka kumi,,,dunia itamkabidhi
na kumtunuka mashahada ya kila aina,,,kwakua rais bora,,,
duniani,,,,hiyo si ndoto wala maoni,,,,hayo nikutoka kwa
Jamuu mwafrika,,,,,,,i have never gone wrong,,,wait and
see.

Raila Odinga,,,,,mwisho wake ulikua 2013 na 2018,,,,he he
atazikwa kirasmi,,,kisiasa.

Na kama watu wako na dhana ya Kenya kwenda ile style ya
Egypt,,,,,he he he he,,,,,mumepotea saaaaaaana na poleni
sana,,,madungu na dada,,zetu,,,

Hiii ni Kii-nyaa na si Misri,,,mtakarangwa na mafuta yenu.

Tuko mbele,,,mbaya mbaya,,,,uzuri ni kwamba,,hawa watu
hua wanaonekana,,,kama,,,, glass,,yaani through na ndivyo
walivyo bwagwa na waka achwa wakijiuliza,,,

Eti nini imefanyika🙂

Sasa wanaota ndoto za kila aina,,,mara,,Uhuru watatengana
kisiasa na Ruto,,mara,,serikali itaangushwa na migomo,,mara,,,
whaa aaaaaaaaaat?????????

Sweet Dreams,,,,comrades.:wave:
 
We inaonyesha siasa za Kenya bado hujazijua. Sasa nakwambia hivi wee subiri tu na utaona hao akina Uhuruto kama watamaliza term yao ya 5 years. Halafu uchaguzi mwingine before the term end ...Hapo ndio utajua nani looser!

Kwa wanaojua siasa za Kenya ni kuwa Uchaguzi bado na kampeni bado zinaendelea.

ama kweli upofu sio wa macho raila is dead of being president however he will never be 2017 uhuruto ndani ya ikulu ataishia kubweka nje watu wamelala ndani.he is looser am sory for him,uhuru oyeeee.
 
Back
Top Bottom