Baada ya Jokate kuanzisha mradi wa kutengeneza ndala, Juma Natura afunguka na kusema Jokate kamuwahi

Baada ya Jokate kuanzisha mradi wa kutengeneza ndala, Juma Natura afunguka na kusema Jokate kamuwahi

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304

Chelewa chelewa, utakuta mwana sio wako!! Ndicho kilichotokea kwa Juma Nature ambaye wazo lake la kuanzisha ndala liliendelea kuwa la mdomoni na ‘kutalk the talk’ ilhali Jokate Mwegelo akileta action kweli kwa ‘kuwalk the walk’. Baada ya mwanamitindo na mtangazaji Jokate Mwegelo kuanzisha ndala zake kupitia brand yake ya Kidoti, Juma Nature ambaye nae alikuwa na wazo hilo kwa muda mrefu, amefunguka na kusema Jokate amemgeza.
Akizungumza na 255 ya XXL, Clouds FM leo,Juma Nature amesema kuwa ingawa Jokate ametoa tayari ndala zake, naye pia ataingiza sokoni brand yake.
“Nani katoa we?”, alihoji Juma Nature aliyeonekana kutokuwa na habari hiyo. “Najua si msanii mwenzangu lakini inakuwaje! kama ametoa itakuwa ameiga nanihii yangu mimi fresh tu,mwache zimsaidie maisha, si idea yangu hiyo! Kutoa ni lazima nitoe kwasababu mimi naitwa Nature,Nature ni yule yule wa miaka na miaka,hatopotea hata kidogo. Mimi bado kidogo kwasababu na mambo mengi sasa hivi nafanya katikati hapa nadhani mashabiki wangu wakitaka kujua waangalie katika TV. Nadhani kila mtu anajua kwasababu gani? Hakuna msanii ambaye alishawahi kutangaza kwamba anategengeneza project ya ndala zaidi yangu.”
 
Hiyo ishu ya ndala naikumbuka ni mwaka jana au mwaka juzi sikumbuki vizuri ndo aliwaza kufanya hivyo baada ya kutolewa nduki kwenye friday nightlive ya eatv kwa sababu alikuwa tungi alafu kavaa carwash na bukta chini ndala... Ilimuuma nature na kulalamika sana na akatoa singo yake ya ndala hata haikuvuma then akasema atatoa project ya ndala...

Ila wabongo ndo hivyo mipango mia kutekeleza sifuri bora jokate alivyoamua kufanya kweli.
 
Hiyo ishu ya ndala naikumbuka ni mwaka jana au mwaka juzi sikumbuki vizuri ndo aliwaza kufanya hivyo baada ya kutolewa nduki kwenye friday nightlive ya eatv kwa sababu alikuwa tungi alafu kavaa carwash na bukta chini ndala... Ilimuuma nature na kulalamika sana na akatoa singo yake ya ndala hata haikuvuma then akasema atatoa project ya ndala...

Ila wabongo ndo hivyo mipango mia kutekeleza sifuri bora jokate alivyoamya kufanya kweli.

Kuwa na mipango na kuifanyia kazi mipango ni vitu 2 tofauti
 
Kuwa na mipango na kuifanyia kazi mipango ni vitu 2 tofauti

Ndo hivyo tangu necha awe na huo mpango wa ndala huu ni mwaka wa 2 i think na alisha danganya raia kuwa ziko kiwandani. Kiwanda gani mwaka wa pili sasa kimyaa
 
Ndo hivyo tangu necha awe na huo mpango wa ndala huu ni mwaka wa 2 i think na alisha danganya raia kuwa ziko kiwandani. Kiwanda gani mwaka wa pili sasa kimyaa

Alikuwa anadanganya na hakuwa serious halisema hivyo baada ya kutimuliwa friday night channel ya east africa baada ya kwenda amevaa ndala na akiwa amelewa chakari
 
Back
Top Bottom