MOST WANTED
JF-Expert Member
- Aug 16, 2011
- 207
- 175
Chimbo gani hilo?
PolosChimbo gani hilo?
Mbeya kuna sehemu inaitwa Polos? Duh nimekuwa mgeni mwenyeji sasa! Ni pande zipi?Polos
Roof top, ghorofa linalo tazamana na Century Plaza mafiatiMbeya kuna sehemu inaitwa Polos? Duh nimekuwa mgeni mwenyeji sasa! Ni pande zipi?
Aah kumbe hapo kati,kabla hujafika Maranatha! Ni gym kwa juu? Ngoja nipite badae nisafishe macho,napasikia tu sijawahi ingiaRoof top, ghorofa linalo tazamana na Century Plaza mafiati
Naam pale wote wa kishua hutakuta hata bia hata moja local au imported ni vikali laini na vigumu tuAah kumbe hapo kati,kabla hujafika Maranatha! Ni gym kwa juu? Ngoja nipite badae nisafishe macho,napasikia tu sijawahi ingia
Hatari sana! Nitasogea nijioneeNaam pale wote wa kishua hutakuta hata bia hata moja local au imported ni vikali laini na vigumu tuView attachment 2524071
Na kama ni mzee wa totoz sasaaa umekwishaaa hahahhahaAah kumbe hapo kati,kabla hujafika Maranatha! Ni gym kwa juu? Ngoja nipite badae nisafishe macho,napasikia tu sijawahi ingia
😀😀me msafisha macho tu!! Sasa totoz zipo za maana kweli? Manake hapo sio changanyikeni,vinywaji lazima ni bei kiaina?Na kama ni mzee wa totoz sasaaa umekwishaaa hahahhaha
Totoz Hatariiiii bei ya chini hapo ni Tsh. 3000[emoji3][emoji3]me msafisha macho tu!! Sasa totoz zipo za maana kweli? Manake hapo sio changanyikeni,vinywaji lazima ni bei kiaina?
Duuh! Ntasogea nione! Tatizo mvua linataka kutibua,si unaona huko juu linavyojikusanya? Mvua ikipiga inakuwaje sasa? Kuna lounge?Totoz Hatariiiii bei ya chini hapo ni Tsh. 3000
Leo closed mpaka kesho mkuu, lakini ipo sehemu mvua ikipiga haina unatulia kauntaDuuh! Ntasogea nione! Tatizo mvua linataka kutibua,si unaona huko juu linavyojikusanya? Mvua ikipiga inakuwaje sasa? Kuna lounge?
Aah okay! Au ngoja nivizie weekend,kabla sijasogea Mwailubi nianzie hapo kwanzaLeo closed mpaka kesho mkuu, lakini ipo sehemu mvua ikipiga haina unatulia kaunta
Weekend imekaa poaAah okay! Au ngoja nivizie weekend,kabla sijasogea Mwailubi nianzie hapo kwanza
HahhahahaMkilewa msirushane tu huko juu