Baada ya Kangi Lugola, nani kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani?

Ogopa sana kusifiwa kila jambo huenda ukasiwa mpaka anguko lako
 
kangi ni baba Lao maana ktk uongozi wake mabasi yametembea masaa 24 bila kusikia yukio lolote la utekaji

Sent using galaxy s10+
Tuwe wakweli hili ndiyo legacy yake. Kitu positive katuachia
 
Eng Masauni
 
kangi ni baba Lao maana ktk uongozi wake mabasi yametembea masaa 24 bila kusikia yukio lolote la utekaji

Sent using galaxy s10+

Katika kipindi chake dhamana polisi 24x7. Katika kipindi chake polisi walitambua kunyanyasa raia haikuwa dili tena.

Eeh mola wetu pamoja na mapungufu yake Kangi Lugora asalie pale. Mbona kama si hivyo polisi watafanya sherehe?
 
Paul Daudi
 
Hakuna anaefaa toka jumba lile la mbogamboga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiongozi, Daudi si mbunge hivyo hawezi kuwa waziri. Nafasi za Rais kikatiba kuteua wabunge zimeisha. Labda atoke mmoja kwanza!
Jamaa anaweza kuteua tu hata kama nafasi zimeisha, si alisema yeye ni mhimili uliojichimbi a zaidi !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…