BAADA YA KCMC, CUHAS, je MUHIMBILI UNIVERSITY OF HEALTH AND ALLIED SCIENCES LINI WAJAMENI?

Basegeta

Senior Member
Joined
Jun 20, 2013
Posts
110
Reaction score
11
Wale tulioomba hizo degree za muhimbili kwa diploma qualification hatujajua hatima yetu..website yao bado haina kitu, mwenye kujua atusaidie jamani, tunakufa kwa presha jamani!!!
 
Wale tulioomba hizo degree za muhimbili kwa diploma qualification hatujajua hatima yetu..website yao bado haina kitu, mwenye kujua atusaidie jamani, tunakufa kwa presha jamani!!!

Hivi hiyo haraka uliyokuwa nayo inatokana na nini hasa....we subiri bna..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…