Baada ya Kenya kumwaga ugali, UK amekuja akitembea kwa magoti

Baada ya Kenya kumwaga ugali, UK amekuja akitembea kwa magoti

Tony254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2017
Posts
16,017
Reaction score
16,431
Baada ya UK kumwaga mboga, Kenya iliamua kumwaga ugali. Hawa wazungu wanastahili wakikupiga kofi kwenye shavu, usiwape shavu la pili, rudisha nawe kofi au ngumi ili wapate funzo. Sasa foreign minister wa UK na foreign minister wa Kenya wamepigiana simu na kukubali kusitisha vita hivi. Wataunda kamati itakayoangalia jinsi ya kuwezesha wananchi wa nchi hizi mbili kusafiri bila vikwazo.

Kenya, UK eye peace after travel ban fight​

THURSDAY APRIL 08 2021
uhuru+boris

President Kenyatta meeting with UK Prime Minister Boris Johnson. FILE PHOTO | NMG

geraldandae

By GERALD ANDAE
More by this Author

SUMMARY​

  • Kenya and the United Kingdom are set for reconciliatory talks after a spat over Covid-19 risk levels triggered a tit-for-tat travel blockade from each of them.
  • The two countries Wednesday announced that that a joint committee would be formed to review the travel restrictions which threatened bilateral trade, economic and security relations.
  • The announcement followed a telephone discussion between Kenya’s Foreign Affairs Cabinet Secretary Raychelle Omamo and her UK counterpart, Dominic Raab.

Kenya and the United Kingdom are set for reconciliatory talks after a spat over Covid-19 risk levels triggered a tit-for-tat travel blockade from each of them.

The two countries Wednesday announced that that a joint committee would be formed to review the travel restrictions which threatened bilateral trade, economic and security relations.

The announcement followed a telephone discussion between Kenya’s Foreign Affairs Cabinet Secretary Raychelle Omamo and her UK counterpart, Dominic Raab.

“They discussed the strength of our relationship -- on trade, regional security, and health -- and agreed to establish a Joint Committee to work together on addressing Covid-19 travel restrictions,” Kenya’s Foreign ministry said in statement.

Passengers travelling between the two countries face a blockade starting this Friday after the Kenyan government banned all flights from the UK to retaliate a move by London to add the country on its travel “red list”.

ALSO READ​

Travellers arriving in the UK from countries on the red list will be denied entry, while returning Britons must submit to 10 days of mandatory quarantine in hotels. The UK claimed it based its decision on scientific evidence which showed that the Kenya had strains of the deadlier South African variant of coronavirus –an assertion Nairobi has rejected.

Kenya has, besides the passenger flight ban, also directed all non-citizens coming from the UK to self-isolate for 14 days before they can be admitted to the country in what will significantly cut on the number of tourists coming to Kenya ahead of the summer holidays.

Those arriving from the UK are to also undergo mandatory two Covid-19 tests, one on the second day of quarantine and another on the eighth day.

In an attempt to avoid escalation of the feud, both countries have agreed to get to a negotiating table amid concerns that the standoff may affect critical security and trade ties.

The travel blockades have raised concerns over negative effects on trade and tourism between the two countries and bilateral ties such as military cooperation.

Kenya is currently engaged in talks for a critical new bilateral trade deal with the UK post-Brexit, hoping to cushion its economy after partner states of the East African Community (EAC) failed to conclude an Economic Partnership Agreement (EPA) with the EU. Only Kenya signed and ratified the deal.

Until the end of the Brexit transition period, Kenya enjoyed duty-free, quota-free access to the UK’s markets through the EU’s Market Access Regulation (MAR). As the UK did not replicate the MAR at the end of the transition period, Kenya would have faced an increase in tariffs without a trade agreement or other measures in place.
 
Dah, UK wameinua mikono. Kenya ndio baba lao hapa barani Afrika, kiboko cha mabeberu! (Kwa sauti ya kimataga mataga). 😄😄😄

Hiyo ndiyo inatakiwa hapa Afrika. Siyo wakija ku negotiate na waAfrika wanawachukulia poa.
 
Dah, UK wameinua mikono. Kenya ndio baba lao hapa barani Afrika, kiboko cha mabeberu! (Kwa sauti ya kimataga mataga). 😄😄😄
Hahaha. UK ni wajinga. Unajua BATUK huko Nanyuki huwa inatrain 10,000 British Soldiers per year na kila baada ya miezi kadhaa lazima batch mpya ije kuwa trained hapo Nanyuki. So basically kuna constant rotation of soldiers in and out of Kenya. So Kenya imeban direct flight to and fro UK na pia kuweka 14 day quarantine in a govt facility. Hapo tumewaweza coz UK hawawezi kubali soldiers wao wawekwe kwa quarantine in govt facility.
 
Safi Sana jirani,ndo inavyotakiwa,Hawa wazungu wasiwazoee kijinga jinga,naamini Sasa Afrika tunaanza kujiletea heshima!
 
Kenya mmejitutumua na mmeweza hongerani sana. Yafaa tuishi kwa kuheshimiana na kuelewana sio mara zote kuwa wanyonge ikiwezekana muangalie na ule mkataba wa biashara mmeingia juzi namna ya kushirikiana na majirani wengine mkikomaa kwenda wenyewe lazima wawashinde nguvu
 
Hawa wazungu wanastahili wakikupiga kofi kwenye shavu, usiwape shavu la pili, rudisha nawe kofi au ngumi ili wapate funzo.

Kwahiyo mlipigwa kofi na nyie merudisha kwa ngumi??--- ngumi kwa kofi it is improportional!!.

Mmekiuka law of justice.
 
Hiyo ndiyo inatakiwa hapa Afrika. Siyo wakija ku negotiate na waAfrika wanawachukulia poa.
Majirani bado sana, hata mtunishe misuli kwa mtindo upi bado hamjafika kwenye level kama hizi za kuchukuliwa serious kimataifa. Huwa mnaishia tu kwenye swag za kujipiga vifua kwenye jukwaa za siasa zenu kienyeji.
 
Sawa kabisa yote ni heri tu. waingereza wa Afrika mashariki.
 
Majirani bado sana, hata mtunishe misuli kwa mtindo upi bado hamjafika kwenye level kama hizi za kuchukuliwa serious kimataifa. Huwa mnaishia tu kwenye swag za kujipiga vifua kwenye jukwaa za siasa zenu kienyeji.
Hahahaha, tuliwafukuza waingereza miaka ya 70s na tikawarudishia pesa yao waliyotukopesha, Ujerumani Magharibi tukawafukuza na kufunga Ofisi Zao walipotulazimisha kuvunja uhusiano na Ujerumani mashariki, wote walirudi baadae na kutupigia magoti, sisi ndio kiboko ya mabeberu. Kumbuka kwamba hata katika hili la sasa, Kenya mliambiwa mchague kati ya TZ na UK, kwa kuogopa baba yenu hapa EA atawatia adabu, mkaamua kuachana na UK. Hahahaha.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Kenya shikilia msimamo hao wamejitoa EU wanatapatapa kupata washirika wa uchumi,wasiwazingue
 
Back
Top Bottom