Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Hili ni kosa la jinai linaloitea "perjury". Kwenye nchi zenye uhuru wa mahakama na mahakama zinaheshimika sawa sawa unaweza kupata kifungo gerezani cha kati ya mwaka mmoja hadi miaka mitano.Naomba kufahsmishwa na wajuvi wa sheria nafasi ya mwananchi anayegundua kuwa shahidi aliyeapa mahakamani amedanganya taarifa zake binafsi, taarifa husika ni jina kamili, umri, kabila na elimu.
Unapaswa kutoa taarifa kituo cha polisi, kusema uongo mahakamani ni kosa la jinai liitwalo "perjury"Naomba kufahsmishwa na wajuvi wa sheria nafasi ya mwananchi anayegundua kuwa shahidi aliyeapa mahakamani amedanganya taarifa zake binafsi, taarifa husika ni jina kamili, umri, kabila na elimu.
Kosa la kuidanganya Mahakama lonapofanywa mbele ya hakimu au Jaji linaadhibiwa hapo hapo. Mfano ukipiga kelele Mahakamani. Hii inaitwa summary procedure.Unapaswa kutoa taarifa kituo cha polisi, kusema uongo mahakamani ni kosa la jinai liitwalo "perjury"
Tofautisha perjury na contempt of court.Tena hata contempt of court kuna kesi zinaelekeza utaratibu ikiwa ni pamoja kuanda mashtaka na kusomewa kosa husika.Kosa la kuidanganya Mahakama lonapofanywa mbele ya hakimu au Jaji linaadhibiwa hapo hapo. Mfano ukipiga kelele Mahakamani. Hii inaitwa summary procedure.
Naiomba hiyo kesi Mkuu.Tofautisha perjury na contempt of court.Tena hata contempt of court kuna kesi zinaelekeza utaratibu ikiwa ni pamoja kuanda mashtaka na kusomewa kosa husika.
Mkuu, unataka kuelewa nini? Inaonekana bado upo mbaili sana na haya mambo ya SheriaNaiomba hiyo kesi Mkuu.