streat Anthem
JF-Expert Member
- Nov 28, 2016
- 395
- 475
Nimekaa nukajiuliza hivi baada ya kifo cha Field Marshal Fidel Castro kufariki, rais aliyopo madarakani Raul castro atasimamia msimamo wa kulinda ujamaa ulio zao la mapinduzi yaliyoongozwa na Fidel na Che Guevara, Ama ndo itakua turning point ya Mabepari (USA) kupenetrate Cuba na kuirudisha enzi za Batista?...