tunataka kuinvestMnataka mkaibe madini Congo?
I hope watakubaliwa kuingia kwani DRC ni nchi muhimu katika Africa ya siku za usoniTaifa la DRC ambalo kubwa kupindukia na lenye madini kupitiliza limeomba kuingia EAC, wachakarikaji ndio muda wa kuchangamkia fursa za uwekezaji.
-------------------------------------------
The Democratic Republic of Congo has formally applied for admission to the six-member East African Community (EAC).
The vast natural resource-rich central African country is seeking to join the regional bloc after various behind-the-scenes rapprochements.
Congolese President Felix Tshisekedi this week wrote to his Rwandan counterpart Paul Kagame, who is the current chairman of the EAC, seeking to join the Community whose member countries are Kenya, Tanzania, Uganda, Rwanda, Burundi and South Sudan.
“This request follows the ever-increasing trade between the economic players of the Democratic Republic of the Congo and those of the states of the Community,” he wrote on June 8.
The desire of his government, President Tshisekedi observed, is to join the Community of regional leaders “so that we can work together for the development of our respective countries and stabilise this part of Africa.”
Nation - Breaking News, Kenya, Africa, Politics, Business, Sports | HOME
Nation.Africa brings the Latest News from Kenya, Africa and the World. Get live news and latest stories from Politics, Business, Technology, Sports and more.www.nation.co.ke
Hawa Wabongo na kinyongo yao wanaeza piga hiyo dili chini eti tu kuhakikisha Kenya haijafaidika. Kumbuka Tanzania tayari wanauhusiano na DRC kupitia SADC. I hope Wabongo watapunguza kisirani this time round.Lazima angekutana na wengine wote ili kuzuga, lakini ngoma yote imesukwa Nairobi maana hilo shamba la bibi ni kubwa lazima tule sahani moja, yeye kuja kupiga piga mapicha Dar sio issue kubwa, sisi tunajua tunachokitaka na tumekipata.
A mineral rich country! Probably the richest in the world.I hope watakubaliwa kuingia kwani DRC ni nchi muhimu katika Africa ya siku za usoni
Wewe umewaza kama watu kumi na nusuMwisho wa siku tukishirikiana faida kwetu wote ni kubwa sana kuliko kwenda kama tunashindana.. ina maana ikiwa Northern DRC inahudumiwa na Bandari ya Mombasa, na Southern inahudumiwa na Dar, na DRC ipo EAC faida ya muungano wetu ni kubwa sana. Sasa huku kuhangaika kila mtu kuvutia kwake hakuna faida kubwa in the long term.
Me nafikiri bado hatuoni mbali. Hatuoni potential kubwa ambayo nchi zetu inazo, bado tunawaza kikoloni. Kama Kenya, TZ na DRC wakikaa meza moja na kuchonga mchongo wa pamoja ambao una lenga ku unlock potentials zetu, hata wachina wataacha kutufanyia mazingaombwe..
Kenyans doing what they do best. STEALING!Sisi hatuna haja na geo politics sisi tunataka kwenda kuchuma kwa shamba la Bibi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Lazima angekutana na wengine wote ili kuzuga, lakini ngoma yote imesukwa Nairobi maana hilo shamba la bibi ni kubwa lazima tule sahani moja, yeye kuja kupiga piga mapicha Dar sio issue kubwa, sisi tunajua tunachokitaka na tumekipata.
Somalia hatutakubali waingie EAC. Tuna veto, usisahau. Somalia itaingia tu kama nchi zote zitakubali, nchi moja ikikataa basi Somalia haiwezi ingia. EAC decisions are made by consensus. Somalia they need to mature up first, they are too childishKenya ipo vizuri kwa kutongoza nchi zingine ku join EAC..Lakini anayekula ni TZ. South sudan juzi walikuwa Tz wakitafuta Bandari ya Dar, Mafuta yao wanataka kuunganisha na ya musevn hadi tanga...
Hata somalia wako karibu kuingia EAC baada ya kenya kutongoza miaka nyingi na kwa nguvu mno..Magu yupo tayari chumbani fimbo ipo wima angalau aonje nyama ya msomali
gooooooood! umemaliza haya ni maono ya mbali sana wachache wanaweza kuona huku. lakini wacha tushindane ili kila upande ione fursa isije ikalalamika imepunjwa fursa wakati haikutumia vizuri fursa wakati wa mwanzo.Mwisho wa siku tukishirikiana faida kwetu wote ni kubwa sana kuliko kwenda kama tunashindana.. ina maana ikiwa Northern DRC inahudumiwa na Bandari ya Mombasa, na Southern inahudumiwa na Dar, na DRC ipo EAC faida ya muungano wetu ni kubwa sana. Sasa huku kuhangaika kila mtu kuvutia kwake hakuna faida kubwa in the long term.
Me nafikiri bado hatuoni mbali. Hatuoni potential kubwa ambayo nchi zetu inazo, bado tunawaza kikoloni. Kama Kenya, TZ na DRC wakikaa meza moja na kuchonga mchongo wa pamoja ambao una lenga ku unlock potentials zetu, hata wachina wataacha kutufanyia mazingaombwe..
As usual you have missed the point, Kenya was first SS but now They have abandoned Lapsset and are looking for Dar port..Their oil pipelines are also likely to head south through ug when it was very convinient in kenya.Somalia hatutakubali waingie EAC. Tuna veto, usisahau. Somalia itaingia tu kama nchi zote zitakubali, nchi moja ikikataa basi Somalia haiwezi ingia. EAC decisions are made by consensus. Somalia they need to mature up first, they are too childish
Hawa Wabongo na kinyongo yao wanaeza piga hiyo dili chini eti tu kuhakikisha Kenya haijafaidika. Kumbuka Tanzania tayari wanauhusiano na DRC kupitia SADC. I hope Wabongo watapunguza kisirani this time round.
Ahaaa haaa haaaMnataka mkaibe madini Congo?
BTW si kweli Uhuru ndo kasababisha Tshikedi kuomba kuingia EAC toka kipindi cha Kabila jnr the talk was there! Uhuru alijaribu kuuza idea ya SGR kupitia Raila but seems no one is buying that corrupt project! If at all Kagame should get the credit and not Uhuru!Kenya ipo vizuri kwa kutongoza nchi zingine ku join EAC..Lakini anayekula ni TZ. South sudan juzi walikuwa Tz wakitafuta Bandari ya Dar, Mafuta yao wanataka kuunganisha na ya musevn hadi tanga...
Hata somalia wako karibu kuingia EAC baada ya kenya kutongoza miaka nyingi na kwa nguvu mno..Magu yupo tayari chumbani fimbo ipo wima angalau aonje nyama ya msomali
Tulianza kitambo tu sasa ni zile dollar 50 zitolewe, fursa kibao hasa maeneo ya mambasa na Beni.its now time for KCB,Equity,coop,Tuskys etc to invest in Congo.Kenyans will have to explore this resource rich Nation.