GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Mkuu, swali la kiZushi,.Huyu si wa kumtukana ni wakumuonea huruma,yaani sometimes hajui hata alicho kiongea dk 5 zilizopita.Hili tatizo alilokuwa nalo ndio siku hizi wanaliita "tatizo la afya ya akili ".
Mwanangu mtafute mtu wa Saikolojia akusaidie.
Sasa Mayele atafute wa nini?Mkuu, swali la kiZushi,.
Mayele ndo atafte mtu wa saikolojia , au POPOMA ndo atafute?
Kuna baadhi ya viumbe hai wamejikuta wapo tu hapa duniani. Wamefikaje, hata wenyewe tu unaweza ukakuta hawajui.Huyu si wa kumtukana ni wakumuonea huruma,yaani sometimes hajui hata alicho kiongea dk 5 zilizopita.Hili tatizo alilokuwa nalo ndio siku hizi wanaliita "tatizo la afya ya akili ".
Mwanangu mtafute mtu wa Saikolojia akusaidie.
hakuna neno tutapata mshambuliaji mwingine"Asanteni kwa Upendo wenu mkubwa Kwangu na kiukweli bila Yanga SC nisingefikia haya Mafanikio niliyonayo sasa. Kiukweli tunacheza Mpira kwa ajili ya Pesa na Maisha hivyo nawaombeni nikacheze huko Kwingine na niipate hiyo Pesa ila nikishindwa huko nawaahidi nitarejea Kucheza Yanga SC ninayoipenda na Kuheshimu sana" amessma Mchezaji Fiston Kalala Mayele na GENTAMIYCINE nimetaarifiwa hii na Maandalizi Mmoja wa Yanga SC ( namhifadhi ) aliyekuwa Kikaoni nae tokea Juzi ( Jumapili )
Ni sahihi, wanamuendekeza kwani kwa siku jamaa anaandika hata nyuzi 60 ambazo hazina mbele wala nyuma. Moderator wa content anatakiwa ajiangalie kwa hili kwa kweli. Hii sio sawa.Admin pia ni wa kulaumiwa katika hili. Haiwezekani mtu mmoja anajaza seva bila maana yoyote na ma Admin wanaruhusu tu thread zisizo na mashiko zikipandishwa. Wanaondoa maana halisi ya jf na kauli mbiu yake.