Baada ya Kikwete na Serikali Kukataliwa More Western Funds, Wanaenda Nchi za Kiarabu


Mkuu you are damn right. Kuna watu wanafikiri Isarel ni nchi ya Kikristo, Tanzania ni nchi ya Kikristo, ni wengi tu, inasikitisha kuwa hata hapa JF wanafikiri hivyo, NImeshangaa sana hata kuona watu hawajui kuwa wamisri ni copts. Tuna knowledge ndogo sana kuhusu dunia.

Hata hivyo omba omba ni omba omba tu huwa haangalii, nani anatoa pesa. Si vizuri kuunganisha hili na udini.
 
Mtoa mada ni kenge.....hajui hata nchi za dunia yetu....anasumbuliwa na udini na ukabila, watu kama hawa ndio wanaidharaulisha JF na kuonakana mambumbumbu
 
Mtoa mada ni kenge.....hajui hata nchi za dunia yetu....anasumbuliwa na udini na ukabila, watu kama hawa ndio wanaidharaulisha JF na kuonakana mambumbumbu

Karibuni kwa wale ambao hamtaki ku-discuss issues na mnabaki kukimbilia kwenye Uislamu na Ukristo. Good luck kwa hizo topics zenu. Ukishindwa kujadili au kuchangia mnakimbilia kwenye visingizio vya udini. Kinawauma nini kusema ukweli "Kikwete anabadilisha directions za kupata funding kwa nchi yetu" the truth is Kikwete has no credibility in the west and other foreign institutions thats why he is seeking help to unconvertional ways.

We will move on to protect Tanzania interests No Matter What, No Backing Down​
 
Kuna maswali machache ya kujiuliza hapa
-Hao wafanya biashara wao wanawekeza kwenye nini?
-Wakishindwa kurudisha Tanzania itakuwa liable kulipa?
-Na kama sisi ndio tuna guarantee huo mkopo kwa nini wasiende kwenye benki za ndani?

Hivi hatuwezi kupambanisha hoja zetu bila kuweka udini ndani yake?
 

What are you saying again. Are you real contributing something? People you need to learn how to take leadership on issues not complaining and injecting religious views. These comments of Israel or Saudi are not taking you anywhere but you look empty head. Answer the questions please, why is Kikwete running to other unconventional ways of funding Tanzania?
 
Mtoa mada ni kenge.....hajui hata nchi za dunia yetu....anasumbuliwa na udini na ukabila, watu kama hawa ndio wanaidharaulisha JF na kuonakana mambumbumbu

Karibu Mustafa Mkullo. Nyie Mafisadi mnafikiri hatujui mpo humu. Jieleze kwanini ulitumia na ku-waste Tanzania funds kwenda Dodoma. You are the one causing donors not to support Tanzanian people. Mafisadi nyie na kujificha kwa kutumia hoja za udini badala ya kutupa majibu.

Watanzania hatutaogopa ku-discuss hizi issues hata kama ccm na serikali yenu mkijitetea na kulia udini udini. Take responsibility na mjiondoe serikalini
 
Wakati wa Ottoman Empire, Uturuki iliwahi kuzitawala nchia za kiarabu. Wakati wa british Empire uIngereza ilitawala nchi za kiarabu, Hiyo sio sifa ya kuwa waTuruki ni waArabu au waIngereza ni waArabu.

Tanzania mpaka leo kuna sehemu zinaitwa Uzunguni, Uhindini, Uswahilini toka enzi za mkoloni, ikimaanisha sehemu hizo utakumbana na watajwa. Hali kadhalika Bujumbura, Burundi utakumbana na sehemu inaitwa Uarabuni, kimantiki hakuna tofauti na hapa kwetu kuwa na sehemu iitwayo Uhindini.

Kwa vigezo hivyo, mtowa mada haelewi kuwa Uturuki si waArabu na hawana sifa ya kuitwa nchi ya kiArabu. Nchi ya kiArabu ni nchi ya wazungumzaji wa lugha hiyo. Ambao hata Uarabuni, Bujumbura wapo na ndivyo ilivyo.

Hivi kuipachika Uturuki kuwa ni nchi ya kiArabu ni elimu ndogo au kutaka kupinda ukweli?

Kama misaada kutoka uArabuni hatujaanza kupokea leo. Lakini waArabu wabaki kuwa waArabu na waTuruki wabaki kuwa waTuruki.
 

Nchi zote zinazotoa misaada zina interests zao.Hakuna cha bure,remember that!
 

Absolutely, ndiyo maana wameendelea kukataliwa kujiunga na European Union na kwa style hiyo hawatajiunga ng'oo. Majitu yanayoendekeza udini siyapendi kama uchafu.
 
Mijitu mingine bwana inashangaza sana, hivi Uturuki ni nchi ya kiarabu toka lini? Ama kweli, great thinkers tunao JF.


Kwahiyo Waturuki ni wazungu? unajuwa kwa nini mpaka leo wanakataliwa kujiunga na european union? usije na majibu mepesi kwenye maswali mazito.
 
Turkey? khe khe kheeeeeeeee wanafahamu Watanzania ni malofa ..... alikuja RA na genge lake chacha wanatawala nchi na wanafua umeme kupitia kampuni ya JK inayoitwa Dowans khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeee


Mkullo walete hao Turkish khe khe kheeeeeeeeeeeeeeee na wewe utakuwa mtawala.
 
Mtoa mada ni kenge.....hajui hata nchi za dunia yetu....anasumbuliwa na udini na ukabila, watu kama hawa ndio wanaidharaulisha JF na kuonakana mambumbumbu

Hapa kwa mimi mgeni wewe ndio nimekuona mfalme wa mambumbumbu au nikuite zuzu, soma thread ielewe thread changia mada husika, hakuna mwamvuli wa dini yeyote ile utakaonyamazisha watu ukweli, hiyo ni mbinu chafu ambayo imeshafeli na ndio maana Mkwere juzi kaenda Dodoma kujipendekeza kwa maaskofu na siku ya pasaka atakuwa na tapeli Alex Msama kwenye tamasha feki la pasaka.
kwahiyo kama bado unaota udini sahau, hakuna sauti itakayonyamazishwa kwa visingizio vya udini au uvunjifu wa amani. peleka hii ripoti kwa mabwana zako wanaokutumia.
 
Tanzania wanadaiwa na kila mtu, they borrow from Osaka to Oman. Unatakiwa ujue nchi yako kako, wanachojali wao ni misaada na kukupa thats it.

Nchi imetoboka, uliza watu wanao fanya bank kuu pale wakwamambie balance sheet ya nchi imekaaje kwenye debt to equity ni kilio baba.... usilopoke tuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…