Baada ya kipigo Cha nguvu kutoka IDF hatimaye magaidi wa Hamas wakubali kuachia mateka watano siku ya sikukuu ya Eid

Milokole mnajichekesha kwa mchungaji wenu au Jf Lini Hamas ilitoa mtu freee Wkt Israel inahaaa kufanya mazungumzo kusitisha Vita upya !!!!

Baada y Israel kupokea kipondo kikubwa kutokea Yemen endeleeni kucheka siku ya kuachiwa ao Waisrael ndio mtagundua kuna Wapalestina pia wanaachiwa kibao mtacheka upya!!!!

mnaaamini kila Ushuzi wa mleta Mada!!!! Tumieni akili zenu vizuli..
 
ila Netanyahuu anajua lugha wanaoielewa magaidi
Kwaiyo naww kumbe umemuamini mleta Mada kuwa kuna waisral wanaachiwa tu Badala kubadilishana Mateka !!!

Subili iyo siku ifike utaelewa Israel maji ya shingo kipondo kutoka Yemen kimemfanya awaze Upya Aman ambayo niyeye ndio kaitupa kuzani Palestina wapo pekeyao!!!!

kunamazungumzo yanaendelea kubadilishana mateka!!! Pia uko Israel Maandamano yameshika kasi miji kadhaa!!!

Wanampinga Netanyahu.. Palestina itoe mtu hai free Umedanganywa kitoto sana mkuu. Pole mlokole w namtumbo!!.
 
Lengo la shetani ni kunywa damu za watu wengi kadiri inavyowezekana.
Na Hamas ni kitengo cha shetani
Shetani iwe Hamas na Israel muua watoto wamama Atakuwa nani punguza mahaba mlokole wa mwanarumango!!!!
 
Mmhh
 
Safari hii hawachekewi ni kipigo tu mpaka wajifunze ustaarabu na namna ya kuishi na jamii zingine hapo pumbavu hao
Ustarabu mwenyewe ndio uyo mwarabu sio zayuni muuwa watoto vichanga akina mama Mwarabu mpalestina katuonesha Ustaarabu wake alipoachia mateka wa Israel walikuwa Oky kiafya sana!!!!

sasa Waisrael walipoachia Mateka wa Kipestina kila mtu mwenye akili kaona namna wameteswa wamekonda wengine miguu awana japo uko Israel awakuwa na shida kubwa kama Gaza. !!

Aibu kubwa kwa Israel kwa Dunia yote imejua nani Ndio Mstaarabu kiasi leo Waisrael wametegwa wanaishi kwa kujifisha kutokana na aibu ile ikiwa wewe ujaona !!!!

basi itakuwa Mahaba ya Ulokole imefikia kwenye kiwango cha Uzwazwa polee tu!!!
 
Watanyooka tu; nguruwe hao.
Kwaiyo umeelewa kuwa wataachiwa vip??? Jua akuna Muisrael atatolewa Bila Wapalestina kuachiwa nyie walokole mnaotaga mchana!!!!!?? Israel maji ya shingo Tramp kafukwa na kawachwa pekeyake mana niyeye alichagua Vita upya..
 
Huo ni ujinga tu, hayo myahudi nayo ni hovyo tu, kwa nini wasiwaache wote kama walivyowakamata?
Wayahudi nao ni hovyo tu, wakatae mateka kuachiwa kwa mafungu, wawataje wawachie woote waliosalia.
Vinginevyo waendelee kuuwaua tu hata kama ni watoto, maana hao ndo magaidi wa kesho, wanawake hao ndo wanaozaa magaidi. Wawaue tu hadi wawachie wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…