Baada ya kiwango kizuri alichokionesha Francis Nganou, nashauri apewe Daniel Dynamite Dubois

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
20,137
Reaction score
26,189
Baada ya Francis Nganou kumtandika Lineal Champion ambaye pia ni WBC Super heavyweight champion of the world Tyson Fury (Gypsy king) licha ya kufanyiwa dhuluma ya waziwazi na majaji naona Francis apewe triple D apigane naye kabla ya kurudiana na Tyson Fury.

Binafsi nimeona haikuwa rahisi kumtangaza kwamba yeye ndiye bingwa kwa sababu nyingi haswa za kibiashara na kulinda heshima ya boxing.

Sababu kuu za kibiashara ni kwa kuwa kuna undisputed fight kati yake na Oleksandr Usyk wiki chache zijazo na maandalizi yalishaanza kufanyika kwa hiyo kukatisha njiani si rahisi kihivyo.

Oleksandry Usyk pambano lake la mwisho alipigana na triple D (Daniel Dynamite Dubois) licha ya kwamba alishinda lakini alipokea upinzani mkubwa sana kutoka kwa triple D na alikuwa knocked down japo ilikuwa kimakosa jambo ambalo lilizua mjadala.

Sababu ya kulinda heshima ya boxing ni kwa sababu Francis ile ilikuwa gemu yake ya kwanza tu kwenye boxing na anapigana na sio tu champion bali Lineal Champion kwa hiyo kwa heshima ya boxing na namna lineal Champion anavyopatikana isingekuwa kirahisi rahisi tu kumpa ushindi Francis.

Rematch kati yake na Tyson haiwezi kuwa rahisi na kuna uwezekano mkubwa akapoteza kama hatopigana mapambano angalau mawili matatu ya boxing kabla ya kurudiana tena na Tyson .

Heshima pekee aliyopewa Francis na rais wa WBC bwana Mauricio Sulaiman ni kuwekwa kwenye ranking ya mabondia 10 Bora kwenye uzito wa juu.

Sasa mpinzani pekee anayetakiwa kuanza naye Francis ni triple D na sio Deontay Wilder wala Anthony Joshua kama baadhi ya wadau wa boxing walivyosuggest
 
Kabisa.

Kikubwa asilewe sifa na pesa alizozipata maana ndio udhaifu mkubwa wa mabondia wengi wakiwapiga mabondia tishio ,chukulia mfano Andry Luiz( Destroyer).
Yaaa hela inakuwaga inawavuruga, me jamaa nimekuwa nikinfuatilia long tine kwenye UFC , jamaa anasulubu kinomaaa
 
Baada ya Francis Nganou kumtandika Lineal Champion ambaye pia ni WBC Super heavyweight champion of the world Tyson Fury (Gypsy king) licha ya kufanyiwa dhuluma ya waziwazi na majaji naona Francis apewe triple D apigane naye kabla ya kurudiana na Tyson Fury.

Binafsi nimeona haikuwa rahisi kumtangaza kwamba yeye ndiye bingwa kwa sababu nyingi haswa za kibiashara na kulinda heshima ya boxing.

Sababu kuu za kibiashara ni kwa kuwa kuna undisputed fight kati yake na Oleksandr Usyk wiki chache zijazo na maandalizi yalishaanza kufanyika kwa hiyo kukatisha njiani si rahisi kihivyo.

Oleksandry Usyk pambano lake la mwisho alipigana na triple D (Daniel Dynamite Dubois) licha ya kwamba alishinda lakini alipokea upinzani mkubwa sana kutoka kwa triple D na alikuwa knocked down japo ilikuwa kimakosa jambo ambalo lilizua mjadala.

Sababu ya kulinda heshima ya boxing ni kwa sababu Francis ile ilikuwa gemu yake ya kwanza tu kwenye boxing na anapigana na sio tu champion bali Lineal Champion kwa hiyo kwa heshima ya boxing na namna lineal Champion anavyopatikana isingekuwa kirahisi rahisi tu kumpa ushindi Francis.

Rematch kati yake na Tyson haiwezi kuwa rahisi na kuna uwezekano mkubwa akapoteza kama hatopigana mapambano angalau mawili matatu ya boxing kabla ya kurudiana tena na Tyson .

Heshima pekee aliyopewa Francis na rais wa WBC bwana Mauricio Sulaiman ni kuwekwa kwenye ranking ya mabondia 10 Bora kwenye uzito wa juu.

Sasa mpinzani pekee anayetakiwa kuanza naye Francis ni triple D na sio Deontay Wilder wala Anthony Joshua kama baadhi ya wadau wa boxing walivyosuggest
Amekuwa ranked top 10 kwa pambano moja, tena la exhibition? WTF!? Mchezo wa ngumi unaelekea kaburini!
 
Hiyo haikuwa exhibition fight ,ingekuwa exhibition fight isingejumuishwa kwenye boxing record .Pambano lao ni sawa na pambano la Floyd na Conor .

Huyo ni sahihi kuwa ranked kwa sababu amepigana na lineal Champion na kuonesha upinzani wa hali ya juu sana.
 
Hata kama ilikuwa professional match, kuonyesha upinzani kwenye pambano hakukufanyi uwe ranked kwenye top 10. Ndio maana nasema boxing inaelekea kuzimu, too much politics. Kuna watu washaona $$$$ hapo, wanataka kuzipiga fasta.
 
Mbona hueleweki unachokisimamia?

Mara useme ni exhibition fight nikakuelekeza hiyo ni professional boxing match, mara useme kuonesha upinzani hakukufanyi uwe ranked top 10.

Sasa kama kuonesha upinzani hakukufanyi uwe ranked top 10, niambie ili uwe ranked top 10 wanafanyaje?
 
Mkuu hujui boxing nini? Toka lini bondia akawa ranked juu namna hiyo baada ya kupigana pambano moja tu na KUSHINDWA? Nipe mfano mmoja tu.
 
Unawashauri viongozi wa jamii forum? au sisi wasomaji?
 
Mkuu hujui boxing nini? Toka lini bondia akawa ranked juu namna hiyo baada ya kupigana pambano moja tu na KUSHINDWA? Nipe mfano mmoja tu.
Unajua lineal Champion ni nani?

Unajua kwa nini WBC walitaka ku introduce Franchise belt na kumkabidhi Tyson Fury?

Unajua kwa nini ukishapewa Franchise belt hata ukipigwa bado mkanda unabaki kwako?

Tuanzie hapa kwanza.
 
Nimekuuliza swali na wewe unaniuliza maswali. Funny.
 
Ranking za WBC
Screenshot_20231104-091002_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom