Baada ya Korona mwaka 2023 TZ watoto wakiitwa majina shuleni

Baada ya Korona mwaka 2023 TZ watoto wakiitwa majina shuleni

Konzo Ikweta

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2013
Posts
735
Reaction score
1,467
1. Covid Shekorona
2. Karantin Chuwa
3. Barakoa Nchimbi
4. Mwantumu Barakoa
5. Sanitaiza Sanga
6. Lockdown Julius
7. Wuhan Joseph
8. Mkaratusi Atufigwegwe
9. Mwarobaini Kibiriti
10. Fusho Mwakibinga.
11. Nyungu Alex
12. Funikiza Adam
13. Ummy Mwarabu
14. Positive Kaijage
15. Negative Ngonyani

[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2097][emoji2097]

Hasta la victoria siempre
 
1. Covid Shekorona
2. Karantin Chuwa
3. Barakoa Nchimbi
4. Mwantumu Barakoa
5. Sanitaiza Sanga
6. Lockdown Julius
7. Wuhan Joseph
8. Mkaratusi Atufigwegwe
9. Mwarobaini Kibiriti
10. Fusho Mwakibinga.
11. Nyungu Alex
12. Funikiza Adam
13. Ummy Mwarabu
14. Positive Kaijage
15. Negative Ngonyani

[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2097][emoji2097]

Hasta la victoria siempre
Bwana Maduhu kamwita binti yake Corona Maduhu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya ile ajali ya Msamvu mologolo alizaliwa atulipukile mwakansamvu nasikia familia ile ile amezaliwa Atukombwisye Mwadagaska
 
😀 😀 😀 😀 😀
Jina langu ni Stephen N. Chelu
Nikivuka salama kwenye corona hiyo N itasimama Nyungu badala ya Ngalya ili kuonyesha umuhimu wa nyungu kwenye maisha yangu.
Stephen Nyungu Chelu, saafi kabisa. 😂😂😂😂😂
Au wewe unaonaje ndugu yangu Nelly Sanitaiza...?
 
Na watu hawashindwi aisee. 😅😅

Na sababu zao kubwa watasema kwa kuwa mtoto alizaliwa kipindi cha janga la Corona hivyo nkaona nimpe hili jina tu kama ukumbusho. Lol
Hiyo kanuni inafanya kazi sana huku vijijini. Vi mmagufuli vingi sasa hivi vipo darasa la kwanza.
Kwa hivyo 2025, vi covid, sanitaiza, nyungu vitaanza shule, sasa hivi bado vinanyonya.
 
1. Covid Shekorona
2. Karantin Chuwa
3. Barakoa Nchimbi
4. Mwantumu Barakoa
5. Sanitaiza Sanga
6. Lockdown Julius
7. Wuhan Joseph
8. Mkaratusi Atufigwegwe
9. Mwarobaini Kibiriti
10. Fusho Mwakibinga.
11. Nyungu Alex
12. Funikiza Adam
13. Ummy Mwarabu
14. Positive Kaijage
15. Negative Ngonyani

[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2097][emoji2097]
watanzania mnanixhinda tabia
Hasta la victoria siempre
 
Back
Top Bottom