Baada ya kuachana na mbunge wa Donge,Wastara arudiana na mpenzi wake wa zamani

barafu

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2013
Posts
6,739
Reaction score
32,880

Mwigizaji Wastara aliwahi kuingia kwenye vichwa vya habari Tanzania kutokana na ndoa yake kuvunjika ndani ya siku 80 akiwa kaolewa na Mbunge wa Zanzibar.

Kabla ya ndoa hiyo Wastara alikuwa kwenye uhusiano na mshikaji ambaye ni staa wa Bongo Movie pia ambaye anaitwa Bondi, sasa basi baada ya taarifa kuenea katika mitandao mbalimbali kwamba amerudiana na Bondi leo ameyazungumza haya juu ya taarifa hizo.

Unajua watu hawajui tulipotoka yule ni mtu wangu wa muda mrefu ni makosa yake tu alinikosea ndio sababu ya mimi kuachana naye na ndipo nikaamua kwenda Zanzibar kuolewa yakatokea yaliyotokea na sasa niko na Bondi yaani nimerudiana naye nimesamehe yaliyopita kwasasa tuna kama miezi miwili tangu turudiana katika uhusiano wetu’
 
Kwahiyo tayari K yake imechunguliwa na wanaume watatu hadi sasa! naamanisha marehemu, mbunge na huyo aliye naye. Ifike mahali aseme hawa wametosha kuniona sehemu zangu za siri asione tena mwingine!
 
Mh, wastara alikuwa mwanamke wa kuheshimika sana zamani alipokuwa mke wa sajuki sijui kapatwa na nini mapaka anaamua kujiachia namna hii kuchezewa na huyu bond, kama ndoa ilikufa basi angetulia na bond kama anampenda afunge nae ndoa jamani, mama wa watoto wakubwa tu kwa nini usitunze heshima ya wanao kama ya kwako si kitu?Ajiangalie bana sio vizuri.
 
Mate ya mwanaume sumu Dada,waulize walioguswa na mate ya mwanaume!
 
Kwahiyo tayari K yake imechunguliwa na wanaume watatu hadi sasa! naamanisha marehemu, mbunge na huyo aliye naye. Ifike mahali aseme hawa wametosha kuniona sehemu zangu za siri asione tena mwingine!
K zingine ukijidai unazifungia zinafanya fujo hadi uzifungulie,sio yeye ni k inataka
 
umri wake si wa kusumbuliwa tena na hayo mate, bintiye yeye atafanya nini ikiwa mama yanamuwasha?
Mate nuksi!!usiombe ukutane na msanii haswa,kila akilala anakumbuka ulimi wa bondi
 
Kuna watu wanaishi maisha yao kama filamu za bongo muvi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…