Sawaa ilaa nawaza naskia unaweza nunua kitu kodi ikawa kubwaa kuliko bei ya bidhaaa na pia nawezaje kujua kodi halisi ya kila kitu nataka.kununua mpaka kinanifikiaa?lengo ni.kufanya analysis ya soko la Huko na kuagizaa lengo likiwa kupata faidaTafuta supplier ambaye unataka kununua huo mzigo. Angalia pia wawe verified na alibaba. Gharama Mara nyingi inategemeana na uzito wa kitu. Kama huna agent wa kukusafirishia mizigo, wao supplier watakutafutia, ila wanatumia DHL Mara nyingi inafikia 12$/kg hiyo including ushuru wa huku Tanzania. Pia hakikisha unawalipa kwa kutumia trade assuarance ambayo alibaba wanatoa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bei wanazoweka alibaba zinakuwa sio bei kamili, ukiwaulizia watakwambia bei halisi, pia hiyo shipping fee yao wanajumlisha pamoja na kodi, wewe unaenda kuchukua tu mzigo wako. Alibaba mara nyingi wanauza jumla jumla, kama unataka vitu vikubwa ( mzigo mkubwa)unaweza kununua Alibaba, lakini kama unataka mizigo midogo midogo ili na wewe uuze nakushauri AliexpressSawaa ilaa nawaza naskia unaweza nunua kitu kodi ikawa kubwaa kuliko bei ya bidhaaa na pia nawezaje kujua kodi halisi ya kila kitu nataka.kununua mpaka kinanifikiaa?lengo ni.kufanya analysis ya soko la Huko na kuagizaa lengo likiwa kupata faida
Sent using Jamii Forums mobile app
AhsanteBei wanazoweka alibaba zinakuwa sio bei kamili, ukiwaulizia watakwambia bei halisi, pia hiyo shipping fee yao wanajumlisha pamoja na kodi, wewe unaenda kuchukua tu mzigo wako. Alibaba mara nyingi wanauza jumla jumla, kama unataka vitu vikubwa ( mzigo mkubwa)unaweza kununua Alibaba, lakini kama unataka mizigo midogo midogo ili na wewe uuze nakushauri Aliexpress
Sent using Jamii Forums mobile app