da irritant boy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2013
- 402
- 444
Ninatafuta shule au mtu binafsi wa/ya kufundisha kwa muda wakati nikisubir mda wa chuo ufike, ninafundisha physicS,chemistry na biology...nina uzoefu wa kufundisha masomo hayo kwa ngazi ya o-level na a-level pia,kwa maelezo zaidi nipate pm
...Kama ninafundisha m2 binafsi ni lazima nitumie content based system,lakin kama nafundisha shule ya government mtaala mpya unasisitiza matumizi ya competence based system hvo ninai2mia hyo lakn kama nafundisha private xul inategemea na instruction kutoka kwa academic au dept master maana huwa wanatofautiana wengi wanapenda ku2mia content based ambayo mwalimu anatoa 75 ya material kwa mwanafunzi,akat competent based mwalimu anatoa 25 na inayobaki ni kwa mwanafunz mwenyewe...naweza kufanya zote inategemea na makubalianoWEwe ni competent au content teacher.
...Oh ahsante ndugu kama wana2mia cambridge syllabus hakuna tatzo nadhani itakuwa vema kama utanipatia details kama namba ya cm au emailUpo mkoa gani? Kuna shule moja ya private ipo Arusha wanalipa vizuri, nyumba unapewa pia...
wanatumia Cambridge curriculum.
...Oh ahsante ndugu kama wana2mia cambridge syllabus hakuna tatzo nadhani itakuwa vema kama utanipatia details kama namba ya cm au email
Upo mkoa gani? Kuna shule moja ya private ipo Arusha wanalipa vizuri, nyumba unapewa pia...
wanatumia Cambridge curriculum.
Nimeona lakini inashndwa kufunguka sielewi kwa nini!Nshakuwekea maelekezo pm....
Nimeona lakini inashndwa kufunguka sielewi kwa nini!
..pm haifunguki,ndio ninatumia simu jaribu nadhani itakuwa vizuri kufanya hvoYani pm haifunguki? Au watumia simu?
ngoja niitume tena
..pm haifunguki,ndio ninatumia simu jaribu nadhani itakuwa vizuri kufanya hvo
..Ahsante hakuna tatzo i think i should find p.c to read this,ahsante sana nduguNimeshatuma tena
..Ahsante hakuna tatzo i think i should find p.c to read this,ahsante sana ndugu