Baada ya kuangallia picha na Video zilizopelekwa ICC, nina Maswali Kadhaa

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,132
Reaction score
64,416
Kuna baadhi ya picha ni Screenshot za Watu walipost Twitter(X), Instagram Facebook nk.

1). Je, wale waliopost hizo Picha Mtandaoni ndo Watakuwa Mashahidi?

2. ICC wanapokea Ushahidi wa Screeshot? Bila link husika?

3). Je, hawa waliopost hizo Picha ambazo zimekuwa screeshot, wakifuta ushahidi utakuwa umekufa?

Angalizo: Video zinaogofya.. Kama una roho ndogo usifungue bali nijibu maswali yangu.


Hapa chini nimeweka baadhi yascreenshot. Je, zinaweza kusaidia ili Samia na wahaini wenzie wanyongwe?
 
Waliopost ndio watakuwa na maelezo mazuri na ya kina
 
Umeua ili ukatamalaki😭
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…