Baada ya Kuangukia pua kwa Ester Kahumbi wa BBC,Naombeni Connection ya Black Beauty wa Nigeria anaitwa SIMI

The Sunk Cost Fallacy

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2021
Posts
19,582
Reaction score
14,167
Hongereni na Harakati Wakuu..

Baada ya kumkosa mtoto wa Kikenya na Mtangazaji wa BBC Ester Kahumbi Baada ya kuwa kumbe ameshaolewa na lijamaa huko kwao,nimekuja na ombi la connection..

Kuna mtoto wa Ki Nigeria anaitwa SIMI kwa jina la Kazi ya biashara huwa namuelewa Sana.

Mdada ni black beauty fulani amazing na mjanja mnjanja hivi lakini kisu Sana..Pamoja na kwamba Huwa sipendi maisha ya wasanii na vituko vyao ila kwa huyu itabidi nijikaze maana kizuri kula na mwenzio..

Mwenye habari zake na connection tafadhari tuwasiliane Ili nione alternative na namna ya kufanikisha dili ya kung'oa hii mali adimu..

Thank you in advance 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220821-103311.png
    Screenshot_20220821-103311.png
    180.9 KB · Views: 21
Hongereni na Harakati Wakuu..

Baada ya kumkosa mtoto wa Kikenya na Mtangazaji wa BBC Ester Kahumbi Baada ya kuwa kumbe ameshaolewa na lijamaa huko kwao,nimekuja na ombi la connection..

Kuna mtoto wa Ki Nigeria anaitwa SIMI kwa jina la Kazi ya biashara huwa namuelewa Sana.

Mdada ni black beauty fulani amazing na mjanja mnjanja hivi lakini kisu Sana..Pamoja na kwamba Huwa sipendi maisha ya wasanii na vituko vyao ila kwa huyu itabidi nijikaze maana kizuri kula na mwenzio..

Mwenye habari zake na connection tafadhari tuwasiliane Ili nione alternative na namna ya kufanikisha dili ya kung'oa hii mali adimu..

Thank you in advance 👇
Lima viazi tu wa ludewa 😂😂😂
 
Jamaa mshamba huu kimbwa yaani kubabaika na vya mtandaoni uko mbeya vip? Hamna wanawake

Hako kamshahara kama kahalmashauri na uwizi wa pesa za wananchi huyo demu hutomuweza tafuta pesa kwanza.
 
Back
Top Bottom