Gosbertgoodluck
JF-Expert Member
- Mar 3, 2008
- 2,855
- 402
Daktari wa kikwete amemshauri baada ya vurugu za uchaguzi anahitaji mapumziko kama mwezi mmoja hivi ili kupata nguvu ya kuwatumikia watu wake waliomsaidia kuchakachua matokeo na kuwezesha ushindi wa sunami. Daktari amemshauri aondoke mara baada ya kuunda baraza la mawaziri. Yeye amekubali kwa mantiki kwamba atatumia fursa kuomba vyandarua vingine na msaada wa kununua bajaji.