Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
glory be to god
Vipi bw. Rutashubanyuma, ulitaka aje hapa JF nini????
Halafu suala la mtu kuumwa na kumrudia Mungu wake hilo ni lake binafsi, mi nafikiri ungekuwa muungwana sana kama ungempongeza kwa uamuzi wake mzuri, kwani kwa Mungu hakuna linaloshindikana.
Tuache Unyanyapaa...
sijui kwa nini huyu jamaa yangu wa karibu sana afya ilipokuwa swafi hata kanisani alikuwa haendi na alikuwa gwiji wa fataki....................sasa mpira umemgeukia aumwa kisawasawa sasa amekimbilia kwenye ulokoli na hataki tena utani kwenye swala la kumcha mungu kuna nini?
Kule iko Neema kuu
Jamani si ndio starehe pekee ambayo mtu anakuwa hajaifanya??
......Wewe!Habari za kunyumba
......Wewe!