Baada ya kuchaguana badilishaneni kuwa vile mnavyotaka kuwa

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
28,297
Reaction score
68,017
BAADA YA KUCHAGUANA BADILISHANENI KUWA VILE MNAVYOTAKA KUWA.

Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli

Ushapata Baby Boy/ Girl unayependana naye. Mnaendana na kuendana kwa asilimia kubwa.

Ni KWELI hawezi kuwa amekamilika kwa asilimia Mia Moja lakini angalau amevuka asilimia 50 kama sio 70 ya mambo unayoyataka kutoka kwake.

Kinachobaki ni Life style tuu.

Kila siku nawaambia MAPENZI yako na mwenza wako iliyanoge na yawe kama peponi Basi itawapasa muwe na Life style Fulani mliyoichagua mnayoipenda.

Sisi Watibeli tunapendelea Life style ya Njiwa. Mapenzi shatashata,mapenzi Niue. Mapenzi mgando kila Muda kuwa wote.
Mapenzi haya ni mazuri na mara nyingi hapo kwenye Filamu za Kikorea na Kifilipino.

Life style ya Mapenzi ya Njiwa pia aliyatumia Nabii Ibrahim kwa Sara Mkewe. Yana faida na hasara Zake.
Lakini pia yanahitaji watu wanaopendana kikamilifu na wasiofichana Jambo lolote.

Kuna wengine life style Yao ni ya Chui,wengine Simba n.k.

Tukirudi kwenye hoja;

Ukishachagua Mwenza, kinachofuata ni kuchagua life styles mtakazoishi ili kufurahia mahusiano na maisha yenu.

Kisha badilisha mwenza wako vile unavyotaka akuvutie na akupendeze.

Kama unapenda awe na nyamanyama Fulani hivi. Zipo Njia za kumfanya awe hivyo.
Kama unapenda awe mwembamba au English figure zipo Njia za kufanya.
Kama unapenda Mumeo awe na six-pack kama Mimi mtibeli Basi wapo watu wakumsaidia awe hivyo.

Kama unapenda awe na kitambi Noma cha kupangusia simu ni wewe tuu.

Mapenzi hayakinai.
Wanaosema mapenzi yanakinai ni wale ambao wakichagua life style ambayo hawaipendi.

Kama unataka kunyuka pamba au Kuishi kistar na mwenza wako ni wewe tuu uamue.
Na sio uanze kutamani wanawake Maarufu au wanaume Maarufu.

Unaweza kumfanya Mkeo au Mumeo kuwa kama Star. Muisji kama mastar.

Maisha ni uchaguzi
Maisha ni mindsets tuu.

Ili haya yatokee lazima umfanye mwenza wako kuwa Rafiki yako.
Ubinafsi muweke Mbali na maisha yenu.

Masuala ya kusema mwanamke anatakiwa kuhudumiwa zaidi kuliko mwanaume ni Moja ya dalili kuwa mapenzi yenu sio Muda mrefu yanaenda kukinai.
Masuala ya kusema mwanaume anatakiwa kuheshimiwa zaidi mnaenda kukwama sio Muda.

Mapenzi ni upendo,Haki na Akili.
Kile ambacho hutaki kufanyiwa usimfanyi mwenzako na kile unachopenda kufanyiwa mfanyie mwenzako.

Unashoboka na Sisi mastar wakati wewe mwenyewe unaweza kumfanya mwenza wako kuwa Star.

Unashoboka na Sisi handsome boy wakati Mchumba au Mume wako mwenyewe ni handsome boy sema ni wewe mwenyewe huridhiki na uliyenaye.

Kitu kizuri ili kiendelee kuwa kizuri kinahitaji ukitunze na uridhike nacho.

Oooh! Taikon Master Una Mke mzuri Sana. Hata wewe wakwako ni mzuri Sana ni vile hutaki kumfanya awe Mzuri.
Unamuona mzuri kwa Sababu ninampenda, nimefanya na kumtukuza awe hivyo umuonavyo

Mke mzuri au Mume mzuri ni Yule anayependwa na Mwenza wake.

Mtunze Mkeo/Mumeo
Mpende Mkeo/Mumeo
Mheshimu Mkeo/Mumeo
Mtukuze Mkeo/Mumeo

Hakikisha ukitoka naye watu waseme KWELI huyu ni mke/Mume wa Fulani. Watu waseme unajua kuchagua.
Wakikuambia hivyo waambie pia unajua kutunza, na kumbadilisha umpendaye azidi kuwa mtu Bora zaidi.

Mwanamke anayekupenda hawezi kukubali wewe uchite, ufubae kwa kigezo ati kuwa wewe ni mwanaume Ati unatafuta. Nope!

Mwanaume lazima ukioa au kuwa na mwanamke uzidi kuwa Bora zaidi. Yaani ule utukufu wa mwanaume unaonekana wazi baada ya kuoa.
Mwanamke ukiolewa lazima mwanaume akuboreshe uziridi kustawi na kunawiri.

Na sio muwe kama mmepewa Laana.
Yaani mnashindwa kubadilika kwenda kwenye ubora mnaenda kwenye kufubaa. Hiyo ni Laana.

Acheni ubinafsi

Kumpenda na kumpendezesha mwenza wako vile unavyotaka inapunguza hata usaliti USIO na ulazima.

Acha nipumzike sasa

Nawatakia maandalizi Mema ya Sabato

Robert Heriel Tz
Taikon master
Kwa sasa Dar es salaam
 
Ngoja Kwanza nimalizie ujenzi, nitakurudia
 
Untitled.png
 
Taikon master 🔥🔥🔥
 
Mia mia sanaaa
 
Life is all about choices we made
 
Back
Top Bottom