MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 1,970
- 4,037
Baada ya sakata la msemaji ya club ya Msimbazi, Ahmed Ally kutoa kauli zenye lengo ovu la kuichafua image na taasisi nzima ya Yanga, Msanii maarufu na mtangazaji, Baba Levo amewasihi viongozi wa Yanga kukaa na kumaliza tofauti yao na kumsamehe msemaji huyo, kwani bado ni kijana anayejifunza na anayetegemewa na familia yake.
Akiongea kwa kusisitiza kwamba kiasi hicho cha faini ni kikubwa mno, Hata Ahmed Ally auze figo zake zote, hawezi kupata kiasi hicho cha fedha.
Akiongea kwa kusisitiza kwamba kiasi hicho cha faini ni kikubwa mno, Hata Ahmed Ally auze figo zake zote, hawezi kupata kiasi hicho cha fedha.