MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 1,970
- 4,037
Mbona mnahangaika nendeni mahakamani, si tunataka mfungue kesi. Hivi inshu ya kagoma imeishia wapi? Nyinyi si mlisema kagoma kadouble sign na mtashughulikia? Kiko wapi? Yanga kwenye kesi weupe ndio maana kila kesi mnashindwa.Nilikiona hiki juzi watu wakatukana, utani wa mpira na pilato wapi na wapi.Haya sasa ktk zile tatu,ukitoa Yanga atabakiwa na saba bil.
Naninavyojua walio anza ndio wataomba hili swala liishe na Yanga atataka wapost kwenye mitandao kama walivyo ipost hiyo notes.
Nihangaike nini? Kwani issue ya Lawi na iliishia wapi? Okay tutawaona safari umahili wenu kwenye hizi bil 10,kwani huyo msemaji wenu atasimamuwa na mawakili wenu.Mbona mnahangaika nendeni mahakamani, si tunataka mfungue kesi. Hivi inshu ya kagoma imeishia wapi? Nyinyi si mlisema kagoma kadouble sign na mtashughulikia? Kiko wapi? Yanga kwenye kesi weupe ndio maana kila kesi mnashindwa.
Haifiki hata 500 milioni, maana nasikia anatumia vilevi vikali kama wenzake kina ahoua kwa hiyo figo zimeshuka thamaniKwan akiuza figo zote mbili anapata kiasi cha shilingi ngapi?
Milioni 60 hadi 85. Ni hasara, Labda ajaribu Uti wa mgongo ndo una soko nowdaysKwan akiuza figo zote mbili anapata kiasi cha shilingi ngapi?