Baada ya Kudaiwa kuwa Paka na Chui, Siri yafichuka Kuwa Ali Kiba na Diamond ni Ndugu.

Baada ya Kudaiwa kuwa Paka na Chui, Siri yafichuka Kuwa Ali Kiba na Diamond ni Ndugu.

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
Gossip Cop Soudy Brown leo anazo taarifa zinazomhusu dada wa kaka wawili ambao mara kadhaa imetoka taarifa kuwa hawapatani, sasa leo kupitia dada huyu anadai kumbe hao jamaa ni ndugu.
hizi tetesi hazijadhibitishwa na wenyewe japo clouds fm ndio wamesema ni ndugu

 
Hiyo picha Diamond bado alikuwa hajoka kimziki nn
 
Haaaahaa Alli K ni mkongwe kumbe kwa Daimond maana huo muonekano wa picha nahisi Platnum aliomba apige picha na kaka ake.
 
Hata mie ni ndugu wa Diamond ioa hajui tu #moneystunna nisaidie kuwaambia clouds! !!!

Kama ni kweli basi mzee wao anajua kufyatua vipaji, hebu fikiria Diamond, Ally K, Queen Dareen na wewe Dinazarde!! Nitamtafuta nimuulize aina ya magoli anayofunga mpaka zinatoka product zenye kung`aa namna hii.
 
Hahahahahah kweli shikamoo Pesa maana hiyo picha ya Diamond khaa. Sasa hivi anatowambwa nje sana kina dada.
 
Back
Top Bottom