Gossip Cop Soudy Brown leo anazo taarifa zinazomhusu dada wa kaka wawili ambao mara kadhaa imetoka taarifa kuwa hawapatani, sasa leo kupitia dada huyu anadai kumbe hao jamaa ni ndugu.
hizi tetesi hazijadhibitishwa na wenyewe japo clouds fm ndio wamesema ni ndugu
Kama ni kweli basi mzee wao anajua kufyatua vipaji, hebu fikiria Diamond, Ally K, Queen Dareen na wewe Dinazarde!! Nitamtafuta nimuulize aina ya magoli anayofunga mpaka zinatoka product zenye kung`aa namna hii.