feyzal
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 7,683
- 15,128
Napata sana mashaka na hili jambo. Iko hivi siku zote inajulikana uwanja wa mazoezi wa Yanga ni Avic town huko ndo kuna kambi yao na mazoezi yao.
Lakini baada ya msimu kuanza na simba kua na speed kali ya kutia watu dozi kubwa katika uwanja huo,utopolo nao wakaenda kufanya mazoezi hapo jambo ambalo linanitia wasiwasi hasa kwa historia ya Utopolo katika mambo ya ulonzi.
Wanasimba hili tukalitizame,nawasilisha.