Baada ya kufanya naye ngono namuona mbaya na si 'type' yangu

Baada ya kufanya naye ngono namuona mbaya na si 'type' yangu

doppla2

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2014
Posts
1,363
Reaction score
1,431
Mungu nisamehe bure!!

Kuna demu nimeangaika Sana kuja kuwa mpenzi wangu.

Nilimkuta ana-date na mkaka flani wakiwa wanaelekea kutangaza uchumba, gafla nikatokea maishani mwake na kubadiri uelekeo huo.

Sifahamu nini kimetokea kabla ya kumgegeda nilivutiwa na binti huyu ,cha ajabu siku aliponipa zawadi ya ushindi mvuto na upendo wote umepotea.

Namuona mbaya and not of my type.
Je hali hii wakuu imewahi kuwatokea? Na vipi ulikabiliana nayo...?
 
Sio tabia nzur
 
Kuna demu mmoja nilisha wahi kumwacha dizaini hiyo, nilimwona mbaya nikamtafutia visa nikapiga chini fasta, baada ya mwezi nikajitafakari nikavaa uhusika wa yule msichana jinsi alivyo kuwa ananipenda, nikasema isiwe tabu maana karma ingekuja kunifuata nikamtafuta nikampa bonge la zawadi, nilimpa zawadi ambayo ilimbadilisha maisha yake yote, na hata kaa anisahau

Wanaume kuna kitu kinaitwa KARMA, Ukimtendea mwanamke na kumuumiza hisia zake ipo siku karma itakufuata
 
He he,king of mgegedo is back,hao watoto wajifunze kupitia kwako
bwana yeye sii bwege kumuachamchumba wake. asikudanganye mtu mambo ya karma hapa. she got wat she deserves.
ila mzabzab inabidi upunguze umri umesogea,
 
Aise wewe amua utaklachoamua at your own risk.

Ila kwa kifupi tu ukim dump ita ku cost my brother.
 
Mambo ya kawaida hayoo wanaume tunaongozwa na genyee na tamaa za mwili zaidi...! Ushamlaa mtoto wa watu unamuona takatakaa... KARMA NEVER FORGET...
So u want me to go on while my feeling's is off
 
Back
Top Bottom