Sio tabia nzurMungu nisamehe bure!!
Kuna demu nimeangaika Sana kuja kuwa mpenzi wangu.
Nilimkuta ana-date na mkaka flani wakiwa wanaelekea kutangaza uchumba, gafla nikatokea maishani mwake na kubadiri uelekeo huo.
Sifahamu nini kimetokea kabla ya kumgegeda nilivutiwa na binti huyu ,cha ajabu siku aliponipa zawadi ya ushindi mvuto na upendo wote umepotea.
Namuona mbaya and not of my type.
Je hali hii wakuu imewahi kuwatokea? Na vipi ulikabiliana nayo...?
Tena amwagiwe maji ya barakaYaaani umeniuziiiii!!Hapo umemfanya ameacha mchumba halafu we unamuona mbaya tena!loh uombewe
ila mzabzab inabidi upunguze umri umesogea,bwana yeye sii bwege kumuachamchumba wake. asikudanganye mtu mambo ya karma hapa. she got wat she deserves.
Then so what?Utakua na Kibamia
Imeshakua hivyo mkuuSio tabia nzur
So u want me to go on while my feeling's is offMambo ya kawaida hayoo wanaume tunaongozwa na genyee na tamaa za mwili zaidi...! Ushamlaa mtoto wa watu unamuona takatakaa... KARMA NEVER FORGET...
LinaitwajeHillo ni pepo
Called WhoPepo