Baada ya kufanya naye ngono namuona mbaya na si 'type' yangu

Sio wote wanao oana au kuwa pamoja wanapendana... beba zigo lako kafie nalo mbele...
 
Linaitwaje
Dopplar 2 shame on you ulijua mwanzoni humtaki now umekula ulichokula humtakii jamani your pepo.
Watu kama nyie nikuoa wanawake waliovutaga bangi siku nyingi?
Mf.wale wadada ambao hawana aibu.
Ukimlala tu anasema kijiji kizima dah basi leo nimeenda kwa doppler2 anakibamia huyo halafu hajui hata romance yeye anakung'ata ng'ata tu.
Dah najuta kumuacha mchumba wangu couse siwezi ng'atwa till death.
Asilimia ya wadada wenye kujitambua wao wanajua sampuli za wanaume kama nyie you take a roll of a person who loves a woman and then you sleep with her and dump here .
We know your type and you will never ever have a piece of your mind.
Because of that i guarantee for sure.
For sure we have learn different types of it and then we ignore these characters of men.
You see your like satan no fear or what you just came here and write a post .
Shame on u
 
Hii kitu kwani ina react upande mmoja tu... halafu hakunaga hizo mambo bana... kama lahana tu siku hizi hakuna.. ndo ije hii mambo.. labda kwa wana ndoa... sio kwa hawa wengine
 
Yaaani umeniuziiiii!!Hapo umemfanya ameacha mchumba halafu we unamuona mbaya tena!loh uombewe
Hapa kazinguaa, bora ata asingekua n mtu wake ambae walikua malengo makubwa [emoji48][emoji48][emoji48]
 
Nyege zako tu ulikuwa humpendi mkuu
 
Aise wewe amua utaklachoamua at your own risk.

Ila kwa kifupi tu ukim dump ita ku cost my brother.
Acha vitisho Mkuu sikuizi Hat Muumba haangaiki na hichi kitengo maana kinamkasirish tu
 
Hii kitu kwani ina react upande mmoja tu... halafu hakunaga hizo mambo bana... kama lahana tu siku hizi hakuna.. ndo ije hii mambo.. labda kwa wana ndoa... sio kwa hawa wengine
Ina react pande zote, ujawah kuona mwanamke anagonga miaka 40 hajaolewa anazalishwa tu akiwa nyumbani? mwanaume anaenda hadi kwa waganga anatafuta mke? au wanaoana ndoa inakuwa haidumu malumbano ndani ya ndoa hayaishi... Karma ipo popote pale kiongozi hadi dunia ya kwanza karma ipo
 
Tubu alafu songa mbele.

Mungu ni wa wenye dhambi na wasio na dhambi.

Kuna mtu nijambazi,anatajirika sababj ya ijambazi,,alafu anatubu,,anaendelea kutumbua mali. Na zaka nasadaka anatoa
 
Tubu alafu songa mbele.

Mungu ni wa wenye dhambi na wasio na dhambi.

Kuna mtu nijambazi,anatajirika sababj ya ijambazi,,alafu anatubu,,anaendelea kutumbua mali. Na zaka nasadaka anatoa
Hakika mkuu swala atubu then aendelee na maisha mengine MUngu yupo kutusamehe tunapokili makosa yetu
 
Hakika mkuu swala atubu then aendelee na maisha mengine MUngu yupo kutusamehe tunapokili makosa yetu
Mimi hizi mambo ndo hazinisumbuagi kichwa kabisa!! .

Ukiwa unapambana nadume la ng'ombe shariti ushike pembe zake.

Tubu ,unasamehewa ,unasonga mbele.....Maisha yasasa hayaitaj chumba cha kujihisi mwenye dhaaaaaambi.....Kuna watu wanadhambi balaaa mpaka shetan anawaogopa
 
Zawadi iliyo mbadilisha maisha zawadi gani iyo
 
Wanaume mnatoa madini lakin hawa dadaz ni Kama nimewatonesha vidonda kwa post hii .. Mnisamehe bure.
Tatizo moyo umegoma na nyie mnataka nibebe zigo kichwani for life
 
We naye umevurugwa tu maana si kwa povu hili.

Siwezi jiforce huku feelings zimegoma.

Matokeo yake mbeleni yanaweza Kuwa mabaya zaidi .
 
Hili ni pepo la ngono linakutuma kuharibia watu uelekeo wa maisha ya watu.
UNATUMIKA UKIDHANI NI FAHARI LAKINI MWISHO WAKE MBAYA.
 
We naye umevurugwa tu maana si kwa povu hili.

Siwezi jiforce huku feelings zimegoma.

Matokeo yake mbeleni yanaweza Kuwa mabaya zaidi .
Wewe umekutana nawashamba may be niwazuri ila hawajui mambo wenzako wanakutana nawatu nawatemwa.
Kiaina na wadada .
Ipo siku utakutaka na shetani mwenzio.
Ingekuwa mimi ungejuta kuzaliwa ningekulamba mpaka.
Halafu ile unaleta mazoea nakudump.
Dah!
Umemfanya mwenzio hana inshu hapo kijijini shame on u dah inauma
Ila sishangai nyie mnajulikanaga sanaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…