Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,404
- 10,900
Baada ya LEEP Hiyo Ni Menstruation Ya Ngap???
Hiyo Excision LEEP Alifanyiwa Lin??
Je anatumia Contraceptive???
Tumbo linauma??
Je Alikuwa Na Any Post Op Complication???
Ndiyo Menstruation ya kwanzaBaada ya LEEP Hiyo Ni Menstruation Ya Ngap???
Hiyo Excision LEEP Alifanyiwa Lin??
Je anatumia Contraceptive???
Tumbo linauma??
Je Alikuwa Na Any Post Op Complication???
Mgonjwa alikuwa na kiuvimbe kidogo kwenye tumbo la uzazi hivyo wakafanya Operesheni ndogo ya kukitoa.Operesheni ilifanyika Bila kumchana walitumia sehemu za kike.Fafanua LEEP ni nini
Una uhakika hiyo damu ni ya hedhi au inatoka kwenye shingo ya kizazi.? aende tu akafanyiwe uchunguzi wajue ni sehemu gani inapotoka hiyo damuKafanyiwa LEEP lakini Sasa alipoingia hedhi damu inatoka nyingi na siku zinapita tu hedhi haikomi.
Leo anaenda tena Kwa Daktari wake,je humu kuna wajuzi wa chochote kuhusu hii condition iliyojitokeza. Kwa wale wenye experience na hii Operesheni hii condition ni normal au lah?
Loop Electrosurgical Excision ProcedureFafanua LEEP ni nini
Umefanya jambo zuri kwenda kumwona Dr.Kafanyiwa LEEP lakini Sasa alipoingia hedhi damu inatoka nyingi na siku zinapita tu hedhi haikomi.
Leo anaenda tena Kwa Daktari wake,je humu kuna wajuzi wa chochote kuhusu hii condition iliyojitokeza. Kwa wale wenye experience na hii Operesheni hii condition ni normal au lah?
Aiseee hii ni kitu kipya.Sina uhakika hiyo damu inapotoka.Nilisema ni damu ya hedhi kulingana na kalenda yake.Lakini siku zinapitiliza na Bado inaendelea kutoka.Jana kaenda Hospital dr wake hakwepo hivyo anataraji kwenda keshoUna uhakika hiyo damu ni ya hedhi au inatoka kwenye shingo ya kizazi.? aende tu akafanyiwe uchunguzi wajue ni sehemu gani inapotoka hiyo damu
Mgonjwa alikuwa na kiuvimbe kidogo kwenye tumbo la uzazi hivyo wakafanya Operesheni ndogo ya kukitoa.Operesheni ilifanyika Bila kumchana walitumia sehemu za kike.
Jana kaenda kumuona daktari wake Kwa bahati Mbaya weekend hii yote hakwepo hivyo anatarajia kwenda kesho.Damu inatoka na ni nyingi na tumeanza kuwa na hofu maana kama ni hedhi siku zinazidi kupitiliza na damu haiishiUmefanya jambo zuri kwenda kumwona Dr.
Nategemea utapewa ushauri mzuri huko.
Kila la kheri
huenda sio damu ya hedhi, huenda sehemu ni ile sehemu iliyotanyiwa kaoperation hako ndio kunatoa damu, ku a haja ya kwenda hospital kuchunguzwaKafanyiwa LEEP lakini Sasa alipoingia hedhi damu inatoka nyingi na siku zinapita tu hedhi haikomi.
Leo anaenda tena Kwa Daktari wake,je humu kuna wajuzi wa chochote kuhusu hii condition iliyojitokeza. Kwa wale wenye experience na hii Operesheni hii condition ni normal au lah?
Siku imeisha. ..natarajia ulipata matibabu na mgonjwa yuko salama.Jana kaenda kumuona daktari wake Kwa bahati Mbaya weekend hii yote hakwepo hivyo anatarajia kwenda kesho.Damu inatoka na ni nyingi na tumeanza kuwa na hofu maana kama ni hedhi siku zinazidi kupitiliza na damu haiishi
Ameenda Hospital mara kadhaa Bila kumuona daktari mhusika aliyefanya Operesheni.Aliwaona Madaktari wengine ambao hawakutaka kumhudumia kuna ushauri walitoa lakini pia kuna kitu nilijifunza ,inavoonyesha hakukuwa na ulazima wa kufanya Operesheni.Inaonekana dr Ali suggest Operesheni Kwa maslahi binafsi.Siku imeisha. ..natarajia ulipata matibabu na mgonjwa yuko salama.
Usiache kurudi hapa na mrejesho kusaidia wengine katika Siku za usoni .
Kila la Kheri
Poleni sanaAmeenda Hospital mara kadhaa Bila kumuona daktari mhusika aliyefanya Operesheni.Aliwaona Madaktari wengine ambao hawakutaka kumhudumia kuna ushauri walitoa lakini pia kuna kitu nilijifunza ,inavoonyesha hakukuwa na ulazima wa kufanya Operesheni.Inaonekana dr Ali suggest Operesheni Kwa maslahi binafsi.
Hata hivyo badaye alifanikiwa kumuona daktari husika alitoa maoni yake kuwa hii damu inatoka kwenye kidonda kilichofanyiwa alipofanyiwa Operesheni.Kwa hiyo kuna dawa kapewa za kutumia.Baada ya hapo tutaangalia maendeleo yake.
Ila nilichojifunza ni kuwa daktari anaweza suggest ufanye Kipimo ambacho Wala hakina uhusiano na Ugonjwa wako Ila atasuggest hicho Kipimo because ana maslahi nacho.
Kuna dawa katumia jana usiku naona kuna improvement kidogoPole sana, Mungu azibariki na kuzitia nguvu dawa ili ziweze kumpatia uponyaji
Poleni sana. Atumie dawa kwa muda mfupi km hakuna mabadiliko tafuteni gynaecologist mwingine awasaidie...Ameenda Hospital mara kadhaa Bila kumuona daktari mhusika aliyefanya Operesheni.Aliwaona Madaktari wengine ambao hawakutaka kumhudumia kuna ushauri walitoa lakini pia kuna kitu nilijifunza ,inavoonyesha hakukuwa na ulazima wa kufanya Operesheni.Inaonekana dr Ali suggest Operesheni Kwa maslahi binafsi.