Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,404
- 10,900
- Thread starter
-
- #21
Mkuu upo sahihi kabisa.Baada ya hii Operesheni nimejifunza kitu aiseee na ningependa na wengine wawe na mtizamo wako.Kama ishu siyo ya Emergency ni vizuri kufanya consultancy nyingi Kwa kadili inavyowezekana. Nilisikitika sana baada ya kuona Specialist mwingine akisema kuwa Mgonjwa hakutakiwa kufanyiwa hii Operesheni.Na vipimo alivyokuwa anafanyiwa Wala havikuwa necessary maana Kipimo cha kwanza kilishatoa majibu hasi hivyo hakukuwa na haja ya kung'ang'ania vipimo vya Aina hiyo.Badala yake ilibidi kupima vipimo vingine ili kujua tiba ya kutoa.Nimejifunza kitu aiseeeSuper Sub Steve , poleni sana ila naamini mambo yatakaa sawa mkuu.
Hapo ndio huwa naona bora nionekane muoga au sifanyi maamuzi ya haraka linapokuja jambo la afya. Kama sio kitu ambacho kinaweza kugharimu uhai wa mtu na hayupo mahututi, napenda kupata ushauri sio chini ya mara tatu tena kutoka sehem tofautitofauti huku na mimi niki google (Thanks to google) ndio nafanya maamuzi.
Unaweza kwenda sehem wanakwambia hili jicho au sikio linatakiwa lifanyiwe upasuaji, sasa unajikuta unakubali kumbe hayo ni maoni ya huyo uliyemkuta lakini kungeweza kuwa na njia mbadala.
Tusiupuuze ule usemi wa zakuambiwa changanya na za kwako.