Papillon 1906
JF-Expert Member
- Jun 19, 2025
- 228
- 753
Hujaipendaje sasa mkuu mbona iko sawa!Pole mkuu, ila sijapenda picha yako ukifanyiwa hiyo operesheni!!
By the way hiyo ikirudi rudi naskia hugeuka kuwa kansa,
Si manadharau madokta kwa sababu mmewazisi Mali na utajiri🤣🤣Nashindwa kuelewa baada ya kusumbuliwa na tezi dume nikafanyiwa upasuaji mambo yakawa Safi.
Baada ya muda takribani mwaka imerudi tena nini chanzo au upasuaji ulifanywa kwa juu juu tu.
Msaada madokta
View attachment 3607997
100% incorrectPole sana kwa changamoto hyo.tezi dume inatibika bila operesheni.ni rahisi sana.chukua majani ya mpapai + migomba+mbaazi tengenezea juice ya kijani bila kuchemsha kwnye moto then kunywa asubuh na jioni kikombe cha nusu lita.utapona kabisa huku ukimtegemea MUNGU.
Sema nini Mzee huyo Daktari hapo kwenye picha anavyokusukumia huo mwichi sijaelewa alikua anamaanisha nini?Msaada madokta
Wewe umewahi kuugua tezi dume ukafanya hivyo au unamgeuza mwenzio shamba darasa?Pole sana kwa changamoto hyo.tezi dume inatibika bila operesheni.ni rahisi sana.chukua majani ya mpapai + migomba+mbaazi tengenezea juice ya kijani bila kuchemsha kwnye moto then kunywa asubuh na jioni kikombe cha nusu lita.utapona kabisa huku ukimtegemea MUNGU.
HahahaWewe umewahi kuugua tezi dume ukafanya hivyo au unamgeuza mwenzio shamba darasa?
Angekua ni mwanamke kalala hapo anasukumia huo mti hakuna ambae angeona ni ajabu labda kwenye harakati za kumtoa mtoto wakaona wazibe nyuma ili asije akachafua mazingira wakati wa ku-push ili mtoto atokeHujaipendaje sasa mkuu mbona iko sawa!
Aangeondoa ya mwanaume akaweka ya mwanamke sio?Pole mkuu, ila sijapenda picha yako ukifanyiwa hiyo operesheni!!
By the way hiyo ikirudi rudi naskia hugeuka kuwa kansa,
Kwa nini ?unapokataa toa jibu100% incorrect
Wengi walishapona cyo tezi dume tu hadi kansa.nilishasaidia watu wengi wenye matatizo mbalimbali.ushauri n bure ukitaka unachukua hulazimishwi.nilishapona tatizo nilikunao kwakupitia jamiforum kwa kusoma tu comment za watu.Wewe umewahi kuugua tezi dume ukafanya hivyo au unamgeuza mwenzio shamba darasa?
CYO LAZIMA IWE CORECT KWAKO.ILA IMEKUWA CORRECT KWA WALIOSAIDIKA.100% incorrect
Kuhusu Tiba mbadala ni vema muwe mnatoa taarifa zinazojitosheleza maana dawa ni dawa.Pole sana kwa changamoto hyo.tezi dume inatibika bila operesheni.ni rahisi sana.chukua majani ya mpapai + migomba+mbaazi tengenezea juice ya kijani bila kuchemsha kwnye moto then kunywa asubuh na jioni kikombe cha nusu lita.utapona kabisa huku ukimtegemea MUNGU.