Yanatumika vipi, fafanua kiongozituko pamoja hiyo tiba inasaidia na wenye kansa pia.tunatoa elimu kutokana na mazingira uliyopo.kumbuka pia majani ya mchunga ni tiba halali kabisa ya tezi dume inayoanza.
Hapana kabisa! Watambenuaje mwanaume ivoHujaipendaje sasa mkuu mbona iko sawa!
Sasa atatibiwaje? Mtu mzima ukivuliwa nguo chutama!Hapana kabisa! Watambenuaje mwanaume ivo
Tafuta tiba asili tu. Bahati mbaya nikaumwa hiyo siwezi kufanya upasuaji. Nimeshuhudia mambo ya ajabu kwa wengi niliowajua waliofanyiwa upasuaji. Huo utaalam kwa hapa kibongo bongo badoNashindwa kuelewa baada ya kusumbuliwa na tezi dume nikafanyiwa upasuaji mambo yakawa Safi.
Baada ya muda takribani mwaka imerudi tena nini chanzo au upasuaji ulifanywa kwa juu juu tu.
Msaada madokta
Wewe ni kilaza tena useless asshole, yaani mtu na professional yake aje kumsaidia mgonjwa kwa kupost JF..? Wewe ni idiotKama huna jibu potezea. Hivi kuna hospitali ndogo wanaofanya upasuajiwa tezi dume? Huo upasuaji kafanyiwa hospitali kubwa. Hapa kauliza uashauri na mwongozo na hapa kuna wataalamu dunia nzima wanaweza wakampa mwongozo sahihi. Hivi ulishawahi kwenda hizo hospitali unazoziita kubwa? Wengi wanaohudumia wagonjwa ni Wanafunzi wa inteinship . Wale wabobezi wanazunguka duniani kutoa semina na warcsha. Ila sasa kwenye malipo na dawa utaambiwa mfumo nenda pale nenda pala. Hii kesi ya tezi dume kujirudia nimesikia nyingi inahitaji mjadala wa kina kwa wataalamu wa afaya/ urology
Wewe Unasumbua bure na hizo Tiba zako. Unajua sababu za Tezi dume kuvimba?Ww endelea na kuzunguka kwnye mahospitali wakati dawa unayo uwanjani kwako.tunakupa bure ushauri ukitaka unachukua.weng tu wamepona kwa majani mchunga na wengne kwa style yao.c lazima tiba ifanane MUNGU AMETOA TIBA KILA SEHEMU KWA AINA YA MITI ILIYOPO HAPO
upo 100% sahihi kwa hapa TZ, ingawa vifaa vipo. Watu wanatibu blindly tu. Daktari anaona PSA inapanda, anasema bado haijafika 10! What!!!!! PSA haiwezi kupanda bila sababu…i. Nimeshuhudia mambo ya ajabu kwa wengi niliowajua waliofanyiwa upasuaji. Huo utaalam kwa hapa kibongo bongo bado
Ndugu yangu, kwanza elewa kuwa Kansa kwa sasa si tatizo kubwa. Management ya Kansa ndilo jibu ya Kansa.tuko pamoja hiyo tiba inasaidia na wenye kansa pia.tunatoa elimu kutokana na mazingira uliyopo.kumbuka pia majani ya mchunga ni tiba halali kabisa ya tezi dume inayoanza.
wapo watu walipsaidiwa mambo makubwa na mazito zaidi ya unsvyofikiri wewe dada unayeishi mjini kwa kupiga mitiWewe ni kilaza tena useless asshole, yaani mtu na professional yake aje kumsaidia mgonjwa kwa kupost JF..? Wewe ni idiot
Hospital kwa hapa Tz hawawezi kufanya hicho kitu jamaa yangu. Niamini. Simtishi ila anaweza kufanyiwa halafu anaweza akadumu siku kadhaa,halafu ikawa ndio nitolee. Kwanza hata alivyofanyiwa hiyo nyingine mpaka sasa yuko hai ni Jambo la kushukuruKikwete alienda kufanyiwa nje.
Watu wakatania kwamba ameogopa kuchunguliwa Tanzania na kupimwa kwa kidole.
Turns out yaweza kua alijua huku bado tunajikongoja kwenye surgery.
Rudi hospital tezi dume hugeuka kua kansa. Achana na JF rudi hospital
Ndio maana marehemu mkwe wangu alikataa kabisa operationUgonjwa wa tezi dume kuvimba Papillon 1906 ni ugonjwa wa Gharama ila kwa mwanaume ukifika 50, ni wachache wanaukwepa.
Kwa ushauri wangu dawa ya Gharama ndogo ingawa ina madhara makubwa ni kuiondoa tu. Gharama za kuiondoa ni pamoja na uhanithi kama urologist hana vifaa vya kumuongoza ili asidhuru nerves za kusimamisha. Ili baadaye uendelee kuzila K kwa dry ejaculation.
Waliletwa vijana kuja kufanyia mazoezi hicho kitu huku wilayani. Watu wengi walijitokeza kurekebishwa hiyo. Waliondoka watu sana. Kila akifanyiwa anakuwa vizuri si zaidi ya wiki 2,baada ya hapo anazidiwa nitolee.upo 100% sahihi kwa hapa TZ, ingawa vifaa vipo. Watu wanatibu blindly tu. Daktari anaona PSA inapanda, anasema bado haijafika 10! What!!!!! PSA haiwezi kupanda bila sababu
Nje ya mada hivi ukifanyiwa op ya tezi dume unaweza kupiga mzigo.Nashindwa kuelewa baada ya kusumbuliwa na tezi dume nikafanyiwa upasuaji mambo yakawa Safi.
Baada ya muda takribani mwaka imerudi tena nini chanzo au upasuaji ulifanywa kwa juu juu tu.
Msaada madokta
Unapata ila anayemwagiwa ndiye anahisi hakuna maji maji yanamuingia kama zamani.Ndio maana marehemu mkwe wangu alikataa kabisa operation
Sasa dry ejaculation,je unapata raha kama ile ya awali?
Watu wengi wanaondoka kutokana na uzembe wa madaktari. Nasema hapa Tanzania, Daktari anajifanya Mungu Mtu!!!! Hii ndilo tatizo. Hujui ni nani anajua na nani anajifunza. Haya masuala yanahitaji umakini sana. Na madaktari ambao wapo Muhimbili dakika hii, wakati Aga Khan wanamsubiri na pia anatakiwa Rabinisia, hawezi kuwa makini.Waliletwa vijana kuja kufanyia mazoezi hicho kitu huku wilayani. Watu wengi walijitokeza kurekebishwa hiyo. Waliondoka watu sana. Kila akifanyiwa anakuwa vizuri si zaidi ya wiki 2,baada ya hapo anazidiwa nitolee.
Baba mkwe wangu amefanyiwa hospital kubwa tu ya rufaa. Japo alikuwa mtu mzima lakini baada ya hapo hakuwahi kutulia. Apumzike kwa amani.
Ila kuna vituo vimespecialise kwenye tezi dume. Nafikiri pana msaada sana sehemu hizoHospital kwa hapa Tz hawawezi kufanya hicho kitu jamaa yangu. Niamini. Simtishi ila anaweza kufanyiwa halafu anaweza akadumu siku kadhaa,halafu ikawa ndio nitolee. Kwanza hata alivyofanyiwa hiyo nyingine mpaka sasa yuko hai ni Jambo la kushukuru