Asalamaleko
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 3,284
- 9,221
Tatizo watu humu wanaleta ujuaji, mtu kasoma ki digrii cha udaktari au medicine chuo cha kata anataka kujifanya anajua kilakitu 😂🤣Hospital kwa hapa Tz hawawezi kufanya hicho kitu jamaa yangu. Niamini. Simtishi ila anaweza kufanyiwa halafu anaweza akadumu siku kadhaa,halafu ikawa ndio nitolee. Kwanza hata alivyofanyiwa hiyo nyingine mpaka sasa yuko hai ni Jambo la kushukuru
Walizuka kibwena na vibe hapa wilayani kufanya hiyo test. Sijui kwa nini waliserect hii ngome?. Sijajua hii test ilikuwa ya nchi yote ya Kivilage? Waliondoka vichwa chini hawana hamu. Maana ilibidi mpaka mkuu kuingilia kati kustopisha hilo zoezi lisitishwe. Maana ilikuwa kila wanaemfanyia anakuwa fresh kwa wiki ,1 hadi 2 tu baada ya hapo anarudi hosp hoi. Hapo ujue mazimaaa. Hapa ngomeni waling'oa sana watu. Zzoezi likanyamazishwa kimya kimyaTatizo watu humu wanaleta ujuaji, mtu kasoma ki digrii cha udaktari au medicine chuo cha kata anataka kujifanya anajua kilakitu 😂🤣
Tanzania hakuna hospital inayo tibu Tezi Dume au Kansa. Watu wanaenda kufanyiwa majaribio tu
Pole.Nashindwa kuelewa baada ya kusumbuliwa na tezi dume nikafanyiwa upasuaji mambo yakawa Safi.
Baada ya muda takribani mwaka imerudi tena nini chanzo au upasuaji ulifanywa kwa juu juu tu.
Msaada madokta
Unamdanganya mwenzio!Pole sana kwa changamoto hyo.tezi dume inatibika bila operesheni.ni rahisi sana.chukua majani ya mpapai + migomba+mbaazi tengenezea juice ya kijani bila kuchemsha kwnye moto then kunywa asubuh na jioni kikombe cha nusu lita.utapona kabisa huku ukimtegemea MUNGU.
Nimeshatibu mzee alikuwa stage 4 amerudishwa ili afe, akaishi more 4 years alikuja kufa kwa enimonia. Tena bugando ambapo walimkataa akarudishwa hospitali ya wilaya kuja kusubiri kifo. Ndugu waliweka matanga wanachoka ikabidi waondokePole sana kwa changamoto hyo.tezi dume inatibika bila operesheni.ni rahisi sana.chukua majani ya mpapai + migomba+mbaazi tengenezea juice ya kijani bila kuchemsha kwnye moto then kunywa asubuh na jioni kikombe cha nusu lita.utapona kabisa huku ukimtegemea MUNGU.
Siyo lazima iwe hivyo mkuu. Inategemea na mambo kadhaa. Inawezekana hata hiyo surgery ya kwanza ilikuwa ya kimagumashi tu hasa kama alifanyia Bongo ambako utaalam ni wa kubabaisha sehemu nyingi.Pole mkuu, ila sijapenda picha yako ukifanyiwa hiyo operesheni!!
By the way hiyo ikirudi rudi naskia hugeuka kuwa kansa,